@hakeem_0420: Example of Love letter kwa Umpendae! Huu ni mfano wa kuweza kufikisha hisia zako kwa Ubunifu #Exampleofloveletter #creatorsearchinsights #loveyou #loveletter #expression #expressieyourself #mapenzihisia #tiktokkenya #tiktoktanzania
mi nlituma iyo sms nikaambiwa umeanza lini kuigiza
2025-08-07 22:06:31
5
Mesha. siku :
nilimwambia hayo lakini akanilenga
2025-08-04 16:33:08
2
🦋✨🦋 Mariah🦋✨🦋 :
nmekuzoea Kwa haraka Sana
nmevutiwa nawe Kwa njia ambazo siwezi hata kueleza.kusema kweli,nahitaji Tu umakini wako,Ninakujali kuliko unavyodhania,ninakuwaza zaidi ya unavyotambua
Nakuthamini zaidi ya vile utakavyowahi kujua,hakuna maneno mazuri ya kutosha kuelezea namna unavyofanya nijisikie WA kipekee, nakupenda sana