@papi_jitu:

Papi Jitu
Papi Jitu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 June 2025 10:12:16 GMT
120429
3140
433
192

Music

Download

Comments

lemanancy
Doctor Lema :
SIPENDI KUONA MCHAGA ANAMUONGELEA MCHAGA MWENZIE VIBAYA KAMA ZAMANI KUSHATOKEA MGOGORO WA WAZEE SISI WATOTO HATIPASWI KUISHIII KWA KUCHUKIANA WACHAGA TUPENDANEEE SISI SOTE NI WATOTO WA BABA MMOJA HUO NDIO UMOJA WA KRISTOO by MMACHAME
2025-06-29 00:45:36
185
magdalenamallya2
It's Maggie 💫🦋 :
sijawai kuchukia wachaga wa sehemu yoyote ila wachaga wa SIHA mungu anawaona na malipo hapa hapa DUNIANI 😭
2025-06-28 12:48:50
12
annieindiantiles
Annieindian tile's & Uganda :
wachaga tufungueni Bank yetu 🤣🤣
2025-06-28 19:45:26
42
cleophasmahenge1993
Cleophas Mahenge (cemmyones) :
wachaga pure ni wakibosho tuuu, hao wengine wanaongea kichaga ata wasambaa wanaelewa🤪, akiongea mkibosho ata google hailewi😂
2025-06-28 11:43:08
67
onlynaikely
My girl❤️ :
sisi hapa waamachame😆🙌
2025-06-28 16:03:52
27
fungogodlove
FungoGB :
wapalestina
2025-06-28 15:00:47
6
marthashirima381
mamkwe shirima :
mchaga wa useri utamwelewa akiongea😜
2025-06-28 16:46:31
6
tanzaniagels3
KIMI :
kwann jamn kirua vunjo ufiki
2025-06-28 11:47:41
5
jsmile61
Jessie_Luxe💋 :
mbona unaenda kwetu kbs mwenetu😂🔥🥰🥰
2025-07-01 08:24:50
3
victormneneymnene
Vm2025 :
Wamarangu hatuoi 1.wamachame 2.Msiha 3. Mkirua Waaanjoo 4. Wakahe 5. Wapare
2025-07-02 10:35:16
3
deniezpaul
DenisPaul_001 :
mie sina habari mtajua wenyewe naondoka na mkibosho wangu
2025-06-30 15:48:22
5
user56c3rdfhl5
FAVOUR 🌺🖤 :
nisione mtu ametaja wamachne nitanyonga mtu🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-01 07:34:23
7
lovebite.official2
LOVEBITE OFFICIAL :
Njia ya kutoka mwika hio to marangu mtoni hapo kuna jengo la kuuzia kahawa kulia KNCU karib na road ya kwend ashira girls😌
2025-06-28 11:17:42
5
joycembuya3
mumy E :
KNCU to Marangu mtoni home sweet home
2025-06-30 05:37:42
9
user3815723259310
Noelaraymond :
unaingia marangu mtoni hapa weeeh 🤣🤣
2025-06-28 15:02:20
14
user5830002800352
lily kimaro :
Wachaga tuna sifa ya upendo!!!!
2025-06-29 13:06:02
1
gurisha25
Mr Gurisha :
Ukifika kinyange niamshe ndaoo 😂😂
2025-06-28 14:50:56
9
godlivingmremi
Ev Godliving Mremi 📸📸📸 :
Mimi ni mmarangu lakini hayo ya makundi Siyafurahii wachaga wote tuwe wamoja
2025-09-09 15:36:49
3
being_kelvin
Mangia 😎 :
Marangu mtoni hapoo🤣🤣🤣
2025-06-28 19:39:28
2
paprii04
papri🤍 :
Mbn Kama Mwika apo au nimekosea
2025-07-01 06:44:18
2
tumaini.piusi
Tumaini Piusi :
wamachame ndio hawaoani na mchaga wowote zaidi ya wao wenyewe ila kwa Sasa wakibosho tunawapelekea moto maana wanatuogopa sana
2025-06-29 05:00:35
1
ewaldtemba942
Ewald Temba :
marangu marangu sio wanawake wale wana kufilisi then wana toweka
2025-07-01 10:02:19
0
salvatoryclemence2
Salvatory Clemence :
afu wa marangu acheni kujiskia tutawatema moshi mjini mtaingia kwa passport mnazingua acheni post za kishamba
2025-07-03 19:38:46
0
sandr9928
cassandra :
mimi sio mchaga lakin nimekaa marangu KNCU nawapenda sana mnaupendo na wakarimu sanaa hadii nikaanza kukijua kidogo kwa mbalii na mtoto nikawazaliaa 😅 nikaamua kubaki na damu yenuu ... one love Wachagaaaa🥰
2025-08-04 12:17:48
1
albeez33
ALbeez :
Kilema
2025-06-28 11:45:40
1
To see more videos from user @papi_jitu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About