@sunnah_zanzibar: #sunnah #islamic_video_ #elimuyadini #manhajsalaf #nassorbachu #fyp #muhammadbachu #tik_tok #zan #zanzibar

Sunnah_Zanzibar
Sunnah_Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 June 2025 03:38:42 GMT
33275
2437
48
583

Music

Download

Comments

gumla._.h
Gumla :
Allah arham sheik nassor bachu
2025-06-29 03:43:24
11
bridalmask2025
BANIHASHIM AL-KURASHY :
mfu anae ishi kwa kazi zake zilizotukuka.Allah akuhifadhi pahala pema peponi.
2025-06-29 09:30:26
28
fatmahmohamed16
fatmah mohammed :
jumaa mubarak ndugi na dada zangu"""Allah akurehemu shekh bhachu na waliotangulia mbele ya haki
2025-08-01 11:03:11
3
alquraishiyyu2328
Ibn mbega :
Allah amhifadhi sheikh Bachu
2025-07-10 13:43:18
2
koul.d3_
Koul d3_ :
Allah, amuhifadh sheikh Nassor Abdallah... swali la kizush... kwani yeye alishindwa kupgzana kelele kama sisi tufanyavyoo leo hii kwa kusimamia misimamo kadha wa kadha ndo mana athar Yak imebaki!!? laa hasha, alikomaa na na kupambana na daa'wa, na mpaka Leo haata si hao wanaoitwa salaf au sufi au hivi na vile, wamamkubali na hakuna anaempngaaa kwa sababu alifanya kazi inayopaswa kufanywa na walimu wa dini.. na sio vinginevyoo... kupashana pashana, kukufurishana na mambo kama hayooo😢
2025-06-29 13:18:35
6
faizatii
H@bibty kh@ir :
Allah akupe makazi mema peponi pamoja na wema walotangulia mbele za haki na sisi ikifika hatima ye2 atupe mwisho mwema.Amiin yaa Allah
2025-08-10 21:20:01
3
alimohdkhatib
Ali Moh'd Khatib :
Allahumma ghufir lahu warhamhu sheikh Nassor bachu. Hakika alifanya juhudi kubwa katika wakti wake.
2025-06-30 03:16:18
6
maheer.pilato
HD collection :
Allah Amraham shekh nassoro bachu
2025-07-02 02:33:46
5
qataadah19
Haqeem :
rahimahullah
2025-06-29 04:55:28
3
mussa.kalembo
Mussa Kalembo :
Allah akuhifadhi mwalimu wangu mawaidha yako yananifunza kila leo
2025-07-07 10:22:22
2
user872878138
mohamed Sukar :
Rafiki ni yule unae enda nae kwenye kheir na ibada Allah atuongoze kwenye mema ya sweratul mustaqeema ameen
2025-07-16 07:32:31
2
jo922172
JO :
MaashaAllah akikuwa aki sema ukweli kabisa.
2025-06-30 17:06:50
2
makuberi1
@makuberi🇹🇿🇰🇪🇺🇸 :
Yarhamullh Sheikh nasoro bachu
2025-06-30 18:35:45
2
the.village.blend
the village blender :
Allah akbar
2025-06-29 04:26:07
3
juniorsniper75
Junior_sniper :
Jazaka Allah khair
2025-06-29 14:00:30
2
user91758160658714
user91758160658714 :
Alhamdulillah
2025-06-29 13:13:18
2
shakirampanda
shakirampanda :
Allahuakbar
2025-07-02 06:52:29
2
jo922172
JO :
Allah yarhamu Sheikh Bachu
2025-06-30 16:19:15
2
alinho3562195176502
ALINHO3562195176502 :
maa shaa allah ❤❤❤
2025-06-29 07:37:03
2
aisha.mohamed566
Aisha Mohamed :
Allah akulipe kheri nyingi uliko sheikh juu ya ILIMU YAKO habibi sheikh haupo ila ILIMU YAKO inatufunza
2025-08-08 18:59:46
1
abdullah.ibn.aliy
Abdullah ibn Aliy :
رحمه الله
2025-07-05 16:14:42
1
suleimanothmani
Suleiman Othmani :
mashaallah jazakumm Alla kaira
2025-06-29 05:54:40
2
yahayamasokola168
Yahaya Masokola :
mashaallah
2025-07-27 14:11:35
1
moxa.saidi
maryam Ahmed :
🥰100% yupo sawa
2025-06-29 03:58:52
2
al_shiffa_sultanbedui
Al_shiffa_sultanbedui :
kabisa
2025-07-02 16:48:16
1
To see more videos from user @sunnah_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About