@tawasuly_hamza:

tawasuly_hamza
tawasuly_hamza
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 June 2025 20:36:06 GMT
249252
11809
331
401

Music

Download

Comments

saumu15072022
INNALLAH MAASWABIRINA :
subhannallah, nashindwa kuelewa kwanini nampenda shekhe Walidi mh Allah ndie anajua zaidi ila ukweli natamani nikutanenae nimuambie Nakupenda shekhe kwa ajili ya Allah
2025-06-30 08:06:45
79
zuhura.shekoloa
Zuhura Shekoloa :
hii qaswida inaitwaje tu search
2025-06-30 13:02:22
10
nahya7182
nahya❤️ :
sanaaaaaa mashallh 🌹 nakupenda kwaajili ya allha shekh wald
2025-06-30 17:33:56
6
rahmed870
Rahmed :
masheikh ubwabwa tu hao
2025-07-02 12:05:58
4
user5286657247979
user5286657247979 :
Huyu atakuja kuwa sheikh mkuu Tanzania
2025-07-01 09:41:11
21
user30961833256988
رجل ونصفين ونصف ونصف نصف :
hzo nibangi unavuta
2025-06-30 07:16:36
4
user5056941265402juma
ANKO JAY. :
Sasa hata kama kupendana ju ya Allah iweje mwanamume mwenzako umshike kifua na kumpapasa
2025-07-01 14:12:20
0
latifamasalaa
raya 💚💚 :
mashaallah kabisa nafurahi san wallahi 🥰🥰🥰 nakupenda san sheikh Walid
2025-06-30 06:55:43
8
ammy01270
Waleed sw :
mashaallah
2025-08-10 04:44:31
2
arafajuma48
arafajuma :
mashaallah umenena🥰🥰🥰
2025-09-05 08:15:45
2
user751063814133
Yusraty :
mashaallah,mungu akuwekee🤎🤎
2025-09-26 09:00:17
1
user9706284741263
Taveta 2 :
tupo wengi mm mwenyewe nampnda sana sana mw/ akulinde shekh wetu
2025-08-16 17:58:13
3
mamu20051
mamu 😜😜 :
Maashaallh 🥰🥰
2025-09-04 19:01:12
1
ummy_a_and_r
Ummy_A&R❣️ :
sheikh walid nakupenda kwa ajili ya Allah🥰
2025-08-04 08:46:19
3
bint.salim8
bint salim :
Allah anijalie kukutana na sheikh Walid napenda kwa ajili ya Allah ..ukimuangalia yuatabasam kwa kila mtu Allah ampe furaha ya duniani na akhera
2025-07-04 21:21:01
2
smar_suuhkimwise1
Smar_Suuhkimwise18 :
Sio raha tuu unajisikia amani fulani hiv moyoni mashallaah…!!!!🥰🥰🤲🏽🤲🏽
2025-09-04 14:52:29
2
hawaty13
wawah 🦋💕 :
mi nampenda tu kutoka moyon ata nikisia saut yake apa msikitin nakuwa makin allah amzidishis kher inshallah❤
2025-09-04 18:21:36
1
user20133568332866
bakari mtanga :
ukiwa muisilamu ebu jaribu kutoka na yale makundi ya kitabilihi ata siku 3 ndio utajuwan nini kitu kumkarimu mwana zuoni na imani thabiti inajengenga
2025-07-27 20:19:14
1
saidabubakari799
Said Abubakari🦋 :
masha allh sheikh mwema walid hakika ww kipenz cha waisram m,mungu Akupe maisha marefu ju mgongo wa Aliz Aaamin
2025-08-23 23:07:14
1
khula063
ukhty farihiy2000 :
Nakupenda kwaajili ya Allah 🥰🥰
2025-08-17 08:15:35
1
amina.lali2
Amina Lali :
shehe waridi MUNGU akupe maisha marefu hapa duniani,nakupenda Kwa iimaani ya Islam,
2025-08-16 17:15:37
1
cycle166
Ecosystem :
hakika ni mfano kwetu sisi waislamu hekima na busaraa na twampenda kwa hakika
2025-07-01 20:00:27
2
fikirimwiru3
Mwiru :
Mungu akupe umri mrefu zaidi na afya njema sheikh wetu Walid
2025-08-12 21:31:12
1
hamisirenge
ENGINEER OLEDY🤞🤞🤞 :
Jina la QASWIDA jamani
2025-07-08 18:42:00
0
user7797561022974
nsuwi the boy :
mim nipo kahama ila nampenda sana huyu shekh nakuwa km nipo dar! mungu ajaalie aje kwetu atusalimie kahama tunamkaribisha sana
2025-08-13 02:45:35
1
To see more videos from user @tawasuly_hamza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About