@absonmotivation: Watu hawawezi kuona thamani yako wakati mwingine, lakini hiyo haimaanishi huna thamani. Usiruhusu moto wako uzimike… Kwa sababu majivu hayawezi kutoa mwanga#motisha #swahilimotivation #ujumbejamii #busarayaafrika #tanzania🇹🇿 #kenya🇰🇪 #uganda🇺🇬 #rwanda🇷🇼 #africanwisdom #kiswahili #inspirationdaily #africamotivation #tiktokafrica #eastafricarise #motivationalvideo #nevergiveup
Abson motivation
Region: TZ
Monday 30 June 2025 14:21:02 GMT
Music
Download
Comments
MZUWA photography :
unae soma hii comment 🥰 mungu akulinde 🙏🇹🇿
2025-07-03 09:53:20
100
Margaret :
wisdom motivation from to a wise man 🙏 😘
2025-07-04 14:08:50
6
MTM,NGURUMO YASAUTI YASIMBA :
kaka kunamahali umeniliza
2025-06-30 21:15:41
14
yassinnuru😍😍😍 :
kabisaa maneno mazurii naye hekima🥰🥰🥰
2025-07-02 15:34:13
7
M1racodecyber :
What language is this
2025-07-04 17:16:12
4
Betty fashion :
jamani naomba tuwaombeeni watoto wetu wa kiume Sio Kila mtu anapenda kua shoga
2025-07-31 16:51:39
4
Romalisa Mtambala :
akili mkichwa 🧠🤔✌️🙏
2025-07-02 07:45:33
9
Emmy momy :
maneno yenye busara san
2025-07-01 19:05:01
7
Abraham stivin :
Asante
2025-07-05 09:00:58
2
Salim Kombo :
asante sana mzee wetu.🙏❤️
2025-07-03 11:57:54
3
SaweJunior24 :
sijaelewa maana ya majivu kuwa na thamani
2025-07-01 16:42:18
5
MINALOO_ :
Majivu yana thamani gan sasa
2025-07-01 20:34:04
6
user93045413281044 :
kweli
2025-07-05 06:01:39
2
user6686122283412 :
kweli kabisa
2025-07-29 21:43:49
1
midwifery ray💕💞 :
dah uk vizur
2025-07-01 12:41:18
3
@POPSI BISHOOW 🇧🇮 :
kl babu 🤝
2025-08-01 17:22:40
1
user820796124467 :
hii imefanya nimkumbuke baba angu kipindi alikuwa hai
2025-07-01 17:00:09
1
Lastike beby Fans :
Amina🙏
2025-07-19 21:28:07
1
peter :
tulomwelewa fadha tufahamiane 🥰🥰🥰
2025-07-01 08:11:03
10
Byamungu Gentil :
merci sana babu yetu
2025-07-30 10:14:41
1
simplesam :
kweli mkavu babu🙏
2025-07-23 17:08:05
1
Yohamu Gadiely :
kwel kabsa
2025-07-20 18:40:31
1
Sophia matora :
asant
2025-07-03 08:10:30
1
Reuben Richard :
Asante Sana
2025-07-02 14:02:29
1
fulenki :
nichapi nyingin kaka 🥰
2025-07-03 18:46:33
1
To see more videos from user @absonmotivation, please go to the Tikwm
homepage.