@somait.institute: Unataka Kuwa Mtaalam Wa Data? Jiunge na kozi yetu ya Fundamentals of Data Sciences — mafunzo ya kina na rafiki kwa wanaoanza, yaliyobuniwa kukuandaa na ujuzi unaohitajika sana katika dunia ya sasa inayotegemea data. Jifunze jinsi ya kushughulikia data halisi kwa kutumia SPSS, na Microsoft Excel. ✨ Utakachonufaika nacho: 1. Msingi imara wa Data Science na maadili yake 2. Ujuzi wa vitendo katika ukusanyaji, usafishaji na uchambuzi wa data 3. Mafunzo ya vitendo kwa kutumia SPSS na Excel 4. Maarifa ya msingi kuhusu AI na matumizi yake 5. Cheti cha Ushiriki 🗓 Muda: Wiki 4 (Jumamosi na Jumapili tu) 💸 Ada: TZS 199,999/= Nafasi ni chache, jisajili muda huu hapa: https://somait.ac.tz/application 📞 Piga/WhatsApp: 0772 05 88 99