@mbuyustudios: Hawa #wangoni wa #songea au wa #ruvuma ila wanajua #kucheza jamanii, wa Tag wangoni 😅😅 Video by Mbuyu Studios 0712156565 #ruvuma #songeatiktok #wangoni #tanzania #viralditiktok #trends #trends #sendoff #simbachallenge #bombambili #makabila
Mbuyu Studios
Region: TZ
Monday 30 June 2025 16:59:14 GMT
Music
Download
Comments
ngoni boy mageuzi :
kuzaliwa songea rahaaa sana
2025-07-21 10:59:48
18
# Lu - montex 🐰 :
kama so komba huyo 😂😂
2025-07-22 18:56:08
5
zammysaid :
uyu wa mbele lazima atakuwa mjomba😂🤣🤣🤣
2025-07-16 19:37:31
17
mariamkomba415 :
Mjomba Sasa 🤣🤣anavyoyarudi na suti yake chini raba jamani🤣🤣
2025-08-08 12:34:37
1
Charrysweety💞 :
Mjomba kutoka songea na suti yake 🤣🤣
2025-08-10 22:16:07
1
zeynatynyoniAO :
kwetu Raha Sana jaman
2025-07-23 18:44:46
1
neystar :
OYEEEEEEEEEE🥰
2025-08-02 15:39:45
1
achalugo693 :
Huyu atakua yule baba angu mdogo wa mbinga pale 😅🤣🤣😁
2025-08-06 19:12:30
1
Princess❣️ :
mjomba kutoka riyomboo😂😂😂😂
2025-07-24 14:07:10
0
miss nyaki :
Kwhy Kwny zile chenja jeshini walikuwa wanatuimbisha kingoni na tusijue 😳
2025-08-20 14:59:50
2
nasra❤️❤️❤️ :
wangoni tujuane
2025-08-05 18:51:06
2
saxmusaxmu :
hii nyimbo inaitwaje?
2025-07-19 19:34:35
0
Minnah G :
hatujawahi kupoa..... 🔥🔥😂😂
2025-07-22 03:34:08
2
hellen :
raha sana kuwa mngoni
2025-07-25 05:49:41
3
mjomba kashapewa bia hapo
2025-08-25 20:00:37
1
Angel John Lwanda :
wangoni hoyeeee 💃💃
2025-07-24 08:48:10
3
tricea bby♥️ :
kama mjomba wangu
2025-07-22 13:19:16
3
i_am_fasmah :
usengwilee wangoni😂😂😂😂
2025-07-23 04:54:30
2
Roseminer@@@@ :
suti na raba kama mjomba code ya sherehe inayofataa
2025-07-24 09:12:02
1
MOSSESMAGARI :
ila suit na boot 👢🥾 wangoni cc bhana shughuli zetu c ndogo 🙏
2025-07-20 21:31:47
2
ms.fayln54 :
😂😂 home land .🔥
2025-07-22 18:16:29
1
user1784445491671 :
🤣🤣🤣🤣🤣oyeee tupo na tunatamba
2025-09-26 07:11:37
0
fatma kapombe :
oyo
2026-05-05 18:16:06
0
Vummy michael🇹🇿🇰🇲🙏 :
Kama namuona bro pauli siku anaingia kwenye harus yang😂😂😂🙌
2025-09-06 13:51:45
0
zaw@d daud :
😁😁😁😁 wangoni
2025-07-19 18:35:16
0
To see more videos from user @mbuyustudios, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.