@killerplatnumz: JAMBO LA MWANZO KULIFANYA KWA MTU ALIYEPATA MTOTO #viral #fyp #viraltiktok #tiktok #today #trending #viralreels #muslim #sheikh #dsm #sheikhwalidalhad #tanzania #quotestagram #islam #islamicreminders #mtoto #adhana

killer platnumz
killer platnumz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 July 2025 06:05:15 GMT
195796
8649
145
1273

Music

Download

Comments

user6947012744071
[email protected] :
kama wakumuadhinia hayupo mamaake anaruhusiwa?
2025-07-01 07:26:15
11
ashamohammed42
Ithamu :
assalaam alykum,,Din inasem mtot apew jin sik ya 7 na hospitali inasem mtot apew jin siku iyo iyo ili asajiliwe apo imekaaje tupate kufahamu
2025-07-02 07:50:15
7
boss_minah
Boss - Minah :
jmn mm namuona uyu shekhe kafanana na dogo patten c kwa ubaya jmn waja wa Allah
2025-07-01 17:52:47
18
ummyrayyan4
ummyrayyan :
apo kwenye kunyoa nywele,wakike je ananyolea nywele áslmykm Warhmatullay wabraktu
2025-07-02 04:00:56
1
sweetdrop01
SWEET DROP 🌻 SUNFLOWER OIL :
kama kiziwi ua bubu je
2025-07-02 08:29:04
0
madishine_1
MAMA OKYOU ( OYKU) 🧿 :
Mimi apa mume wangu ana sema eti ni bida watoto wangu wote hadjawai kuwa adhinia nina swali kuna madhara yoyote watayapata watoto wangu naomba munijib samahani
2025-07-02 11:49:25
0
swtybaby23
swtybaby :
n nilickia anyolewae n mtoto wa kiume pekee
2025-07-02 11:10:50
0
user2211756539468
wingchu :
km umezaa mapacha wakiume lazima uchinje wanyama wa4?
2025-07-03 11:56:00
0
zulfaomar44
Zulfa 🔷️ :
Swali :hakika ukimfanyia mtoto wa kwanza wanaofuata lazma uwafanyie na wao????
2025-07-02 16:37:07
0
salha3950
Salha :
allah nijaalie. na mm nipte watoto na mm
2025-07-02 07:24:12
8
wakt57
Watoo :
sheikh swali uliloulizwa umejibu tofauti...umetaja mnyama na haujasema mnyama gani..je,ng'ombe anafaa?? Dua yakumwombea alopata mtoto hujaisema umesema mengine kabsa,na hilo la kumtafunia kitu kitam,hujaangalia mazingira ya kiafya,kwann asiwe mzazi wake??
2025-08-24 08:20:49
1
minnah860
Aras Graphics🎀 💻🖨️💞 :
Kama ushakua na hukufanyiwa inafaa kujifanyia mwenyewe??
2025-07-02 11:48:06
2
user2727456327096
user2727456327096 :
Ikama ni nini?
2025-07-03 13:36:16
0
silemramdan
silemramdan :
ALLAHU AKBAR
2025-07-01 13:33:53
6
d_i_d_a_h
K🫧 :
Mimi nilimuadhinia mdogo angu je nilikosea
2025-07-01 20:49:37
1
user42931991268572
kayza 03 :
na mnyama ukisha chinja unagawa nyama kwa wt gn au unaifanya nn iyo nyama
2025-07-02 11:12:44
3
mrsdengarous
Mrs dangerous 👑 :
daktar je anafaa kumuadhinia wa kiislam
2025-07-13 17:17:48
2
mosca_rental_tours
Mosca rental and tours company :
Mgodi unaotembea allah akuhifadh sheikh wetu 🙏
2025-07-03 00:27:25
2
sokokitaa
sokokitaa :
shukrani Sheikh kwa elimu kubwa kwa kukumbusha umma
2025-07-02 05:11:07
4
user93666265371220
Ishan babe :
je akishablekhe hairuhusiwi kufa nya
2025-07-19 20:11:33
1
fatimakingube1
Fatima Hamis kingube :
mim muislam ila nimezaa na mkristo na mtt wangu aliadhiniwa na babu yangu vp haijakaa pow shekhe?
2025-07-03 06:57:13
0
cute_leilove
🦋cute_leilove🎶 :
Huyo mtu mwema sasa 🤔
2025-07-02 01:14:37
3
faudhia.mbilu
Faudhia mbilu :
Nikitumia adhana ya cm
2025-07-03 18:30:37
1
rladhia
Nuhriaty🦋 :
Kama siku ya saba unafanya hakika kama sijajaaliwa kipindi cha mwanzo nikajaaliwa siku 40
2025-07-10 18:48:03
1
zeitun61
zeddy :
myama mgani mbuzi ama kondo
2025-07-02 13:12:47
1
To see more videos from user @killerplatnumz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About