@tv24kz: Европейское космическое агентство планирует отправить людей на Марс к 2040 году. Об этом заявил глава организации Йозеф Ашбахер. По его словам, к тому времени освоение космоса кардинально изменится, а жизнь за пределами Земли станет новой нормой. Главная цель — создать на Марсе автономные поселения.

tv24kz
tv24kz
Open In TikTok:
Region: KZ
Tuesday 01 July 2025 06:36:54 GMT
359
16
2
0

Music

Download

Comments

buhgalter_rustem
Рустем Абдуллин :
😂😂😂😂
2025-07-01 20:34:20
0
user6006543975377
user6006543975377 :
всех депутатов президентов всех стран собрать,и на Марс 💯💯💯😂😂😂
2025-07-02 11:52:24
0
To see more videos from user @tv24kz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yah: Maumivu na Maswali ya Waislamu Kuhusu Kuondolewa kwa Sheikh Walid Alhad Kawambwa katika Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Mufti wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, naandika barua hii kwa niaba ya hisia za Waislamu wengi ambao mioyo yao imejaa masikitiko kufuatia kuondolewa kwa Sheikh Walid Alhad Kawambwa katika nafasi yake ya Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mheshimiwa Mufti, maumivu yetu si kwa sababu tu tumeondokewa na kiongozi, bali tumepoteza mwalimu aliyekuwa akituongoza katika njia ya kumrudia Mwenyezi Mungu. Sheikh Walid alikuwa ni mtu aliyewahimiza watu kushikamana na Qur'an, Sunnah, maadili mema, umoja na kumcha Allah. Kwa wengi wetu, alikuwa sababu ya kuimarika kwa imani na kurejea kwenye ibada. Kilichotushangaza zaidi ni kuona hatua hii imechukuliwa bila sisi, kama umma, kupewa maelezo yenye kuondoa sintofahamu. Hali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Ikiwa shutuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ndizo zilizopelekea uamuzi huu, tunaomba kufahamu: Je, zilifanyiwa uchunguzi wa kina na kuthibitishwa? Je, haki ya kusikiliza pande zote ilizingatiwa? Na je, hiyo ndiyo njia bora ya kutatua jambo zito lenye kugusa hisia za umma mzima wa Waislamu? Mheshimiwa Mufti, tunaheshimu uongozi wa dini yetu na tunaamini katika misingi ya haki na uadilifu. Ndiyo maana, licha ya maumivu makubwa tuliyonayo, hatukuchagua njia ya vurugu wala uchochezi. Uislamu umetufundisha subira, hekima na kuheshimu viongozi wetu.  Hata hivyo, utulivu wetu usitafsiriwe kuwa hatujaumia. Ukweli ni kwamba tumeumia sana. Kinachoendelea katika mitandao ya kijamii, ambapo maelfu ya watu wanaeleza maumivu yao na hata kuunda makundi mbalimbali yanayobeba jina la
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Yah: Maumivu na Maswali ya Waislamu Kuhusu Kuondolewa kwa Sheikh Walid Alhad Kawambwa katika Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Mufti wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, naandika barua hii kwa niaba ya hisia za Waislamu wengi ambao mioyo yao imejaa masikitiko kufuatia kuondolewa kwa Sheikh Walid Alhad Kawambwa katika nafasi yake ya Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mheshimiwa Mufti, maumivu yetu si kwa sababu tu tumeondokewa na kiongozi, bali tumepoteza mwalimu aliyekuwa akituongoza katika njia ya kumrudia Mwenyezi Mungu. Sheikh Walid alikuwa ni mtu aliyewahimiza watu kushikamana na Qur'an, Sunnah, maadili mema, umoja na kumcha Allah. Kwa wengi wetu, alikuwa sababu ya kuimarika kwa imani na kurejea kwenye ibada. Kilichotushangaza zaidi ni kuona hatua hii imechukuliwa bila sisi, kama umma, kupewa maelezo yenye kuondoa sintofahamu. Hali hii imeacha maswali mengi kuliko majibu. Ikiwa shutuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ndizo zilizopelekea uamuzi huu, tunaomba kufahamu: Je, zilifanyiwa uchunguzi wa kina na kuthibitishwa? Je, haki ya kusikiliza pande zote ilizingatiwa? Na je, hiyo ndiyo njia bora ya kutatua jambo zito lenye kugusa hisia za umma mzima wa Waislamu? Mheshimiwa Mufti, tunaheshimu uongozi wa dini yetu na tunaamini katika misingi ya haki na uadilifu. Ndiyo maana, licha ya maumivu makubwa tuliyonayo, hatukuchagua njia ya vurugu wala uchochezi. Uislamu umetufundisha subira, hekima na kuheshimu viongozi wetu. Hata hivyo, utulivu wetu usitafsiriwe kuwa hatujaumia. Ukweli ni kwamba tumeumia sana. Kinachoendelea katika mitandao ya kijamii, ambapo maelfu ya watu wanaeleza maumivu yao na hata kuunda makundi mbalimbali yanayobeba jina la "Team Walid", ni ishara ya wazi ya namna Sheikh Walid alivyogusa maisha ya watu wengi. Heshima na mapenzi hayo hayakulazimishwa; yalijengwa na tabia yake, elimu yake na namna alivyowahudumia watu. Aidha, umati mkubwa uliojitokeza katika msikiti wake siku ya Ijumaa baada ya taarifa hizi ni ujumbe wa kutosha. Ilikuwa ni picha inayoonyesha kuwa Sheikh Walid alikuwa kipenzi cha watu wa rika zote; watoto, vijana, watu wazima na wazee. Hata wasiokuwa Waislamu walimheshimu kwa hekima, maadili na namna alivyowasilisha Uislamu kwa upole. Wapo ambao walivutiwa kuujua Uislamu kutokana na mwenendo wake. Mheshimiwa Mufti, hatuandiki barua hii kwa lengo la kupinga mamlaka yako wala kuingilia maamuzi ya taasisi. Tunaiandika kwa heshima kubwa, tukiomba uwazi na maelezo yatakayouondolea umma mashaka. Tunaamini kuwa uwazi hujenga imani, huimarisha umoja na huondoa fitna. Tunakuomba, kwa niaba ya Waislamu wengi wenye maumivu, utupe sababu zilizo wazi na zenye mashiko kuhusu uamuzi huu ili umma upate kuelewa na kuendelea kuwa na imani na uongozi wake. Mwenyezi Mungu atujaalie sote hekima, uadilifu na umoja katika kuiongoza na kuilinda dini yetu. Wassalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh. #creatorsearchinsights #trendingphotos #viral1millionviews #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupage

About