@mcaisha11: Pambeee tu karibu san

🦋MC AISHA🦋
🦋MC AISHA🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 July 2025 09:11:59 GMT
279457
6530
239
1169

Music

Download

Comments

teacher.kuly
teacher kuly :
kwa ushauri wangu sista aisha izi video zako ni pesa ndefu tafta mtu akuekee kwenye app mbali mbali utapiga pesa sana usiishie tiktok
2025-07-01 17:31:29
36
rakhily04
Rakhily-04💞 :
ladha hii inapatikana sehemu moja tu Tanga moja☺️☺️
2025-07-01 19:17:35
32
fatmadachi7
fatmadachi7 :
wadigo mpooo?😂❤️❤️❤️
2025-07-20 21:57:04
2
mohamedfamau68
maradona kenya :
sister Aisha, asalam alaikum, nataka nikuite watamu kenya january itawezekana?
2025-07-06 19:48:06
2
halimacara..._
fyne__cara💕 :
mambo ya tanga yetu hayaaa🔥🥰
2025-07-01 11:27:10
21
ushermvamila
Usher mapoz#@superwomen✌️ :
wajina upo vizuri somo nakupenda bure🥰🥰
2025-07-01 14:43:25
4
user3831443907541
[email protected] :
Nakupatajee dada yangu
2025-08-17 17:36:20
0
husnadollar
Ty Dollars 💸 :
kigoma moja hiyo sitak mtu anibishie😁😁😁
2025-08-02 09:26:58
0
lailati55
mam g :
somo nishapata bad mume2 jamni tanga lahaa
2025-07-24 12:39:22
0
sultan_mehmet25
🇸🇴 Mehmet 🔥 :
Yes MC una vibe si kidogo hii imeweza kinoma 🔥🔥🔥 vitu vyangu hivyooo 😅 mpenzi mtazamaji tu hapo 🤣🤣
2025-07-02 20:10:07
2
abdukarim.ibrahim0
Abdukarim Ibrahimu2024 :
nikihitaj hii ngoma naipataje
2025-07-14 19:58:35
0
jazilaally05
Queen :
Da aisha unaweza mungu akuweke tunakupataje tunaomba no yako💞🥰
2025-08-22 06:58:58
0
user61463680015413
SIRAJ M HUSSEIN :
dada nakukubali sana MUNGU akupe afya njema na akuepushe na mahasid .
2025-08-31 05:47:26
0
rasnaally
Rasna Ally :
naomb niichukue hii video mc aisha nipost na kwang nauza kanga kubwa kuvyutia wateja wang ♥️na kuwaonyesh kam wanawez kushon pia
2025-07-23 23:43:20
2
tamsweet12
Gulabjaan :
nimecheza kitini kama mjinga🤣🤣.. nipo kenya mombasa.. huku tunauita msondo hii ngoma.. yaani uswahilini raha
2025-07-02 15:54:50
9
ngumu.kumeza
IQRA 🇰🇪 🇰🇼 :
JAMANI KILA MKOA UNARAHA YAKE ILA MKOA WATANGA UMEZIDI RAHA WALLAH DAH ALAFU NAONA NDUNDU ZIPOKICHWANI
2025-07-01 21:35:54
3
herieth033
herieth033 :
Ni kama pongwe hivi
2025-07-03 12:27:37
3
zailisa349
Zailisa :
Tanga raha bwana❤️
2025-08-27 11:53:48
1
itc...jasmin
Jasmin yahaya :
aisha nakupenda ,sana ,, mi mc beby
2025-07-09 09:48:09
0
user3455218305923
Aisha sadala :
ukitakikana unapatikana wapi
2025-07-05 12:14:14
0
doubledimpozbackup
azeezah aslanbey🥰 :
tanga rahaaaa🥰
2025-07-01 10:32:25
4
aisha.omary6
Aisha Omary :
Somo Mashallah Allah akujaalie kheri na baraka tukijaaliwa kwenye harusi ya mwanangu nakuhitaji Allah atujaalie uzima 🤲❤️
2025-07-08 11:34:46
0
shadmaya.jaffar
Shadmaya Jaffar :
mwari wetu si mjinga mjinga ww🤣🤣🤣🤣nnavopenda huu udambu dambu🙈
2025-07-31 06:58:41
1
mnkande7
pretty Third ❤️ :
Mc nimepata bado huyo mume😔 nakupenda sana❤️
2025-07-03 10:28:07
0
mariam.mariam9661
maryam maryam :
tanga moja hiyo
2025-07-01 19:36:47
2
To see more videos from user @mcaisha11, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About