@sallex_koa: MKIWA WAOGA MTATAWALIAA NA DICTATOR #nyerere #siasazetu #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

Sallex koa
Sallex koa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 July 2025 10:22:09 GMT
187365
6529
303
1691

Music

Download

Comments

mr_lonely267
Mr_lonely :
huyu nae aliyajua hayo mbona hakutuachia katiba nzur
2025-07-01 14:03:37
70
user67007536679440
Dovah🐟 :
kumbe wazee wametuachia kazi yakufanya afu sisi atufanyi kumbe sisi tunazarau baba wa Taifa.
2025-07-02 13:39:31
39
thomas.raphael6
Thomas Raphael :
Hizi video apelekewe aone
2025-07-19 20:25:13
2
kasonta.0ne
Kasonta 0nE :
Ulicho kisema ndio wakati tulionao sasa!!! Tatizo katiba uliyoiacha Mwalimu!!!
2025-07-03 01:38:23
3
user4475422883025
reprincess REY :
ukiwa na katba nzur na uspo ifuata ni kazi bure hata Sasa mbunge yuko kama mwakilishi wa wananchi ila wakifika bungeni wanasahau
2025-07-01 20:51:30
16
nicksonaugustine
nicksonaugustine :
wahaya aliwachukia sana uyu babu
2025-07-01 12:44:48
13
user5373791865287
user5373791865287 :
huyu Mzee km binadamu alikosea sana kuacha hiii katiba mbovu na inakanyagwa vibaya ss hv na madictor uchwara
2025-07-02 01:25:29
11
rainas._.007
R A I N A S.🎖️ :
Samia must go
2025-07-02 13:47:32
11
user2570116849021
king :
wanao amini tanzania tumekwisha gonga hapo
2025-07-26 09:32:23
1
shilanspl
shilanspl🤑🤑🤑 :
CCM and ssh msikiee no reform no election
2025-07-01 13:59:06
39
anderson0000007
anderson0000007 :
sasa wanacheka nini wakati linaloongelewa ni jambo zito? halafu na huyu muongeaji mbona hakutuachia katiba nzuri wakati alikuwa na nafasi hiyo?
2025-07-12 05:03:52
1
user24021906567018
user24021906567018 :
kweli mzee ulinena mungu akupumzishe kwa amani
2025-07-02 09:32:40
5
user8258108204572
Miss Shalmah 224 :
Kweli kabisa
2025-07-02 08:58:02
4
user366347614182
MWAKILAMBE :
moja ya sifa ya katiba ni mabadiliko kozi mfumo wa maisha unabadilika tuache kulaumu katiba iliyopo ni bora kama hamjui wapinzani wanatumia kisiasa
2025-07-02 11:06:02
2
james71275
mganyizi :
kwanini wahaya aliwaogopa walimfanya nini
2025-07-01 13:26:36
4
mshihili4
Mshihili :
huyu mzee aliona mbali sana
2025-07-01 13:45:36
22
kakaliuka54
Kakaliuka54 :
Katiba inavunjwa kila pahali na kila siku sababu wanaiona katiba ni kama kitabu tu kama kitabu kingine chochote. HAWAIHESHIMU
2025-07-01 14:32:03
7
florianshenda0
florianshenda0 :
mzee wetu aliona mbali sana anajua binadmu hua wanabadilikq, ila angetuachia katiba bora angefanya lamaana sana
2025-07-01 16:47:38
9
frankmgimba392gma
[email protected] :
nyerere uliona mbali sana wenzio wa saizi hawatack kubadilisha katiba na wamegeuza uongozi ni mari yao
2025-07-25 05:40:45
1
innocentkavenuke
Innocent kavenuke :
MZEE ALIONA MBALI SANA!! "Keep Resting FATHER AND BE BLESSED"
2025-07-01 18:48:44
15
aloyce.leonard0
aloyce :
tushaumizwa Mzee wetu uliona mbali wana nchi hatuna haki yakusema tena😢😢😢
2025-07-01 13:21:31
17
mourine959
Mourine 🌹 :
SAMIA hadhibitiwi baba ukiongea unaoeleweka pwani 😁🥹
2025-07-19 13:40:27
1
noreformsnoelection2
YESU.NI.BWANA.20 :
SAMIA ASHAVUNJA KATIBA HUKU
2025-07-19 09:23:16
2
kasumalirashidi
KASUMALI NEWS :
OKTOBA TUNATIKI ✅✅✅
2025-07-01 15:44:04
3
abedjoseph261
xshao ✨ :
huyu mzee kumbe alijua kabs haya yatatokea saiv
2025-07-01 21:30:18
5
To see more videos from user @sallex_koa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About