🥰🥰OOH umenikumbusha mbaali .Jamani maisha ya zamani unguja na nyimbo hizo.na Imani kila jirani.na heshima na mapenzi.na kuachilia milango wazi tukiamka asubuhi tukifunga jioni .ilikuwa raha saana. Wazanzibari wengi tumeondoka unguja yetu.tumeiwacha wameingia makabila mengine sasa si ile unguja tunayoijuwa.imebadilika saana. Yalaiti tungeweza kuirejesha nyuma😔😔😔
2025-07-02 18:49:48
25
Faiza_beauty :
old is gold🥰
2025-07-02 17:05:18
6
mittwan coolest :
Lovely song with awosme voice🥰🥰🥰
2025-07-11 18:43:21
3
2mamudy :
Zamani wa2 waliimba kiukwel nyimbo ime2lia😘😘😘😘
2025-07-23 19:36:38
6
sumyy too bebyyy :
inaitwa je hii nyimbo jmnii
2025-07-01 18:47:51
1
Ahmed Altimamiy :
Old is gold 🥇
2025-07-01 16:49:11
5
Ali Habib :
Unajua hivi vitu vinatutoa machozi tukikumbuka maisha yetu ya nyuma yalivyokuwa sio Sasa daaah Zanzibar Zanzibar Zanzibar Iko wapi ilee!!!!
2025-07-14 15:06:31
8
Binti :
jamani natamani kwrtu mm nikikumbuka hii nyimbo bibi yangu marehemu akiipenda sana nakumbuka miaka ya 90
2025-07-01 20:27:07
8
shani :
Machaprala the LEGEND ❤️❤️❤️
2025-07-02 05:03:33
5
princess shuu 💞 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰napend sana
2025-07-02 17:16:20
2
don Bosco :
Hizo Ndio classics za Machaprala
2025-07-24 09:19:51
4
Aydah Abdillah :
asante kitu tu roho inapenda🥰🥰
2025-08-12 05:36:51
2
latinoplatnumz :
Imenikumbush henzi za uhai wangu 😅❤
2025-07-05 13:07:47
4
Abby Xmay :
Daaah nimekumbuka mbali sana 🤔🤭
2025-07-27 19:58:47
2
hamidhaf2 :
Picha na Nyimbo vime endana haswa❤️Kwa kweli kwetu Rakha🥰
2025-07-04 04:15:47
3
isaac :
Ukumbusho utoto wetu mashaallah
2025-07-02 17:04:17
3
k :
machaprala sio bakar abeid
2025-07-15 06:20:21
2
farhiya :
wache Waseem machapral
2025-07-02 06:10:31
4
𝙠𝙖𝙗𝙚😎 :
Babu yngu wew Nd ulonip jina lang 🥺 mungu aklaze mahal pema pepon
2025-07-25 05:27:30
2
hacking :
nakumbuka miaka ya 1970😌
2025-11-16 11:43:18
1
user0620598349 :
MashaAllah
2025-07-01 10:58:36
3
puBAi :
Waache walalameee marhabaaa ya salaam
2025-09-27 08:05:52
1
user0620598349 :
nice voice
2025-07-01 10:58:45
2
Farida Abrawi :
Masha allah wimbo mzuri nime upenda sana.
2025-07-01 17:34:58
2
To see more videos from user @zanzibarorchestra2, please go to the Tikwm
homepage.