ni kweli nimetoka dar nipo chuga now nina mwaka wanaume wa chuga sijawah date nao cos wakija utackia lamama ni vip fanya macheketee twende boman alafu wapo makauzu balaa
2025-07-01 17:13:53
304
Real life inspo’s😍😇 :
kwanza hachekeshi alaf usiforce sana kuongea ivyo lafudh usiilazmishe ndyo una lafudh ya kiarusha lkn usiweke mbwembwe nyingi
2025-07-01 21:10:48
40
Well_tz :
Mdada anafanana na Rihana
2025-07-01 18:29:02
412
𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤 𝐀𝐧𝐠𝐞𝐥🖤🪽 :
Geuka kama shangwe lipo 🤣🤣🤣
2025-07-04 05:11:22
18
nikhilsonecha2000 :
Ata sio chali tu ila ata madema sio mana hawajui chochote
2025-07-13 09:41:39
7
Salome Konas :
Eti kama shangwe iko🤣🤣🤣🤣
2025-07-01 17:03:41
72
Haki811 :
MAMBISE shangwe ndio nn😁😁😁
2025-07-02 06:47:13
44
𝙱𝚊𝚕𝚍𝙳𝚎𝚟🧔♂️👨🦲 :
Mhuni anahakiki kama una shangwe au hauni
2025-07-01 15:21:08
43
Sirr. John :
shagwe dio nini ? kenya tunapotea😂😂
2025-07-11 21:50:50
12
aishababuhayata :
alafu usisahau tena anakwambia we mmalaya ujue nakupendaga mbwa wewe alafu anakukata kibao hapo kakupenda
2025-07-01 20:01:19
13
kimmy Noir🌸🌷 :
Anakaaliza tu wew si dem wangu unatakiwa useme ndy😳😳 na anakutambulish kwa machalii ap ap 😂😂😂
2025-07-02 00:11:40
12
OmmY..𓅓 :
Arushaa huu mji haujakaa kimapenzi mapenzi kbsaa😅
2025-07-01 20:09:15
40
hajiabdi795 :
sa c mbayaaaa enyewee 😅😅
2025-07-01 15:18:39
34
wisperfect :
mbona anaongea ka mkenya
2025-07-01 19:31:16
11
çïty-hüstlēr🛠️ :
unajikuta muhuni wakati ukilambwa shingo una vibrate kama treka 🤣🤣
2025-07-02 20:30:12
9
Trida ❤️ :
utasia ani apa enyewe lamama nikoga single sinaga ata manzi enyewe kama vp tuwe wote🤣
2025-07-04 14:51:25
11
afrosion :
wameru na wachaga bwana tujuane nawamasai maana ndowengi tupo chuga na cm inaibwa hata ujui imeibwaje
2025-08-11 19:45:03
12
Jescah❤️🌸 :
Waambie 😂😂😂
2025-07-01 19:43:29
6
Agnes Temu :
🤣🤣🤣🤣 isssa wa arusha ppt ulipo m ckuelewaga utongozaji wko japokuwa ulikuwa unacare hatar
2025-07-02 11:43:46
7
papa de Boy Tz? :
NYUMBANI SIRUDI🥰🥰
2025-07-31 20:41:29
1
Yousuf yacn :
mamah hebu geuka kama shangwe liko
2025-07-19 08:15:50
3
jacquelineonesmo2 :
haaaaa nngambise kwanshilem embu shiiya kukemmbise wa kwi mure
2025-07-02 08:03:16
4
Kilimanjaro girl,🇹🇿 🇹🇭 :
Wape la mamaa😁😁
2025-08-13 17:01:16
1
Anne :
tumefanana sura walai
2025-07-10 12:36:05
1
AMANI :
kwani yeye Rihanna anasemaje
2025-07-03 20:23:03
3
To see more videos from user @watubaki_, please go to the Tikwm
homepage.