Banae. Hamsikii Huku nalia🥹.. Mapenzi shikamoo💔.. Wenye twalia Sai let's gather here🫂
2025-07-01 22:33:22
76
maria_❤ :
mazeee🥹🥹🥹🥹🥹nashangaa nikitokea kazi niede wapi..jus overthinking and crying at night😏😏
2025-07-02 12:18:06
118
ᥫ᭡ori🏵️ :
Ndio maana sizimangi lights😭
2025-07-02 11:10:14
45
🦋𝔊𝔯𝔞ℭ𝔦𝔢💫 :
guys am suffering 😫😭kwani mmi sikuumbiwa mapenzi😂
2025-07-01 19:51:11
21
sincerely,fiona 🌼 :
4AM 😭😭
2025-07-01 18:33:08
6
skyshiro7 :
aky i decided to walk away now 12 days na sijalia niko normal kweli after 3 years
2025-07-02 06:10:24
6
ƁÙ§Ÿ MÀÑ 🇰🇪 :
mm ata Sina shida n heartbreak 💔 kaa mweny ana control ndoto Zang jooh utaniua n ngono 😂😂😂😂😂
2025-07-02 15:28:22
18
JOY :
Kwanza saa nane mpaka five😫😂😂😂🫵weeew
2025-07-01 21:26:56
15
Nje Rey🌹 :
unalia karibu ukufe😂
2025-07-02 08:44:05
18
Don't be Silly 🫵 :
me nimehara juu ya heartbreak, Sahi vile Niko sawa staki mapenzi hata kidogo,pombe tosha
2025-07-02 20:08:58
1
Achizo@36 :
kwani bado kuna wat wanadate 😅😂😂
2025-07-03 19:08:51
4
user9137177140385nyambu :
kwanza masaa ya 3am wueh hadi machozi na bubbles za mapua hapo ndo huanza kutoka🤣🤣
2025-07-03 20:37:59
2
leyla10 :
Unalia ukitoa makamasi msee😂😂😂💔
2025-07-01 16:47:16
5
𝐴𝑠ℎ𝑙𝑒𝑦🦋 :
adi unafungana mapua eii😂
2025-07-02 14:28:46
5
gushna :
😅😅😅ama time unachapa mechi.. 😂😂😂
2025-07-03 16:47:12
0
~I'm Bètüellã🎖 :
nikikumbuka i found myself crying at the butchery ..😀butcher akadhani nataka nyama ya bure nihurumiwe eeeiii😀🙄acha ikae tu nisimame aki
2025-07-03 02:41:41
5
.. :
Kuna siku nliachwa bado nikiwa kwa wazazi usiku ikafika......yyyoooohhhhhhh,,,,usha wai uma duvet adi ikatoka mashimo?😅😅😅😭💔
2025-07-05 16:21:04
3
mami :
naombeni kamba🥺🥺🥺💔
2025-08-11 11:40:48
2
🦋Jenty🌸🥰 :
😂😂😂I remember nishawai lia kwa plot,kuanzia saa sita,watuh wakapigia brother angu simu kumuuliza nani ame kufa kwetu😅,na hivyo ndio nli learn ku heartbreak wanaume.
2025-07-03 11:41:36
0
rahmanino7 :
yaan unaona panachelew kukucha😂😂
2025-07-14 15:03:43
0
🌱dorry🍀 :
semeni kuachwa sai 😭I mean now now 💔😭😭
2025-07-02 16:08:12
1
KATTYQUEEN :
mimi sikuli,siogi na kubwa sana ni mume wa mtu
2025-07-02 18:10:24
1
Dangote kabanga :
haiangaliagi usiku wala mchana ila mwendo ni uleuletu
2025-07-03 19:31:25
1
To see more videos from user @kenyanboy254_, please go to the Tikwm
homepage.