@stanbakora_: All The Best Kwa Finalist Wote ..! UE Njema Kwenu .

Stan Bakora
Stan Bakora
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 July 2025 13:51:00 GMT
648590
25670
691
3321

Music

Download

Comments

ms_mimah4
Mimah :
🤣🤣unazan utan kumbe Kwel
2025-07-02 14:39:35
454
lylohmcute
🦋Lilo🦋 :
anajifanya content kumbe kweli
2025-07-02 14:59:58
245
rudysimba_025
RUDY_SIMBA💕💕🦁🦁🦁 :
morogoro mawenzi🤣🤣🤣🤣
2025-07-02 16:19:19
134
zedcruzyrouj
Zuhura_Rajabu :
Mungu na nazi 🤣unachanganya mizimu na malaika 🤣
2025-07-02 20:48:15
51
phinakeche
phinakeche :
mbona sio njia panda
2025-07-02 13:56:00
35
g.to87
G TO :
mtihani wako communication skills ninao hapa ndo nasahihisha nakushauri usali pia sana 🙏🙏🙏
2025-07-02 15:00:19
18
eenzoo.o
Enzoh 🚲 :
uchawi unamuusisha mungu😂😅😂🤣😂
2025-07-02 18:54:51
18
chicagodenim23
rkeke :
ndo analoga kama utani
2025-07-02 19:04:09
5
its_acehyun
𝔸𝕔𝕖_ℍ𝕪𝕦𝕟 🌿 :
wapi Finalist 😂😂😂
2025-07-11 10:06:38
0
nyaki_tza
Abdallah Nyaki :
kama utani lkn ndio ana wanga hapo
2025-07-03 05:08:13
5
chamdorie24
chamdory24 :
Unahc content kumb n kwel😂
2025-07-02 21:49:14
4
hilm.mohammed
Hilminho 🤍🫥 :
@Hilminho 🤍🫥: uzur wa TikTok unasoma comment huku una angalia video kama unavofanya ww ndugu msomaji🤣🤣🤣🙌watu wangu hap 🙏
2025-07-03 14:38:02
3
ricokid69
Rico da kidd☠️ :
usikute ndo anaroga kwel nyie mnajua utani🤣🤣🤣
2025-07-02 18:05:41
20
namy_jux
namy_jux💫 :
unahaki kusomea kilimo sio mchezo🤣🤣🤣
2025-07-05 15:55:11
1
stevenson_03
Stevenson :
aya watu wa udom tujuane😅
2025-07-02 19:21:37
2
fales_93
fales93 :
naiona mafiga morogoro😂😂😂
2025-08-02 09:47:38
1
enocah_360
Enocah kipuba✌🏽🍂🧘🏿‍♂️🤍 :
Moro iyo apo si content 🤣🤣🤣🤣
2025-08-01 00:09:56
0
feysal_tz
𝐅𝐄𝐈𝐒𝐀𝐋 🇹🇿🇬🇧 :
mwanafunz ana funguo wa gar 😃😄😄😄
2025-07-02 14:46:43
49
110gee
ma mkali🤞 :
nilichogundua wasoma comment wengi ni wa moro🤣
2025-07-02 20:15:44
1
ms.jacqie_
ms.Jacqie_ :
road ya kwenda soko la mawenzi 🤣🤣🤣
2025-07-02 20:55:53
1
africanboy999_tz
Africanculture777_tz :
Waganga nao wannamtegemea Mungu😂😂😂
2025-07-03 21:21:59
2
beel.sout_
beel.sout👑 :
Nani kasikia “Mwijaku uyo kavunja Nazi.!”😂😂
2025-07-03 07:21:23
1
user8496224394019
mudir khan :
hakuna ekti hapo huo ni ukweli tunaoamini sio content gonga like hapa
2025-07-03 08:36:23
4
mamladystore2
mamlady🌸🦋 :
Nani mwingine kaon magunia kule pembeni kama mizuka 😂
2025-07-03 12:34:30
3
aitkson
Aitkson :
mchawi uyo
2025-07-02 22:00:06
1
To see more videos from user @stanbakora_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About