@cench.06: #fyp #tanzania #mwarabumweusi #code #bunju #mbweni #tegeta #maokoto #kutoboa #tanzaniantiktok🇹🇿 #morogoro #relatablecontent #dotomagari #viral #fyp #viraaal

Cench06
Cench06
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 July 2025 16:50:46 GMT
764560
55439
2100
2881

Music

Download

Comments

feenahdicha
𝑭𝒆𝒆𝒏𝒂𝒉𝑫𝒊𝒄𝒉𝒂🇵🇸🇮🇷 :
what a confidence booster, look the highlight, ni fling fling fling🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-02 21:34:21
425
feysaza
Ms fey :
Niliwahi fanya hivi nilipata kazi siku iyo iyo siku ya pili nikaaza kazi hotel na sijawahi somea 😂😂🙌🏻
2025-07-02 20:39:45
1969
premaxcallix
premax callix :
ila we jamaa ukivuta bangi kidogo tu unakuwa mbunge wa bunju 😃😃😃
2025-07-03 01:38:16
1481
blacklion232
Black lion :
Kuadisiw ni rahis mnooo😂😂😂
2025-07-02 22:21:07
282
hapichi_pachu
Hapichi_Pachu :
Nikuokotee mawe😁😁
2025-07-02 20:43:52
109
kajala_family
Dr kajigo :
😂😂 niko nanyosha suti apa kesho ASUBuhi paeleweke
2025-07-02 20:20:45
707
orlandoo_27
Ninox Narii :
me nilipata chumba bila dalali nilitembea nyumba kwa nyumba😅😅
2025-07-19 14:32:16
151
devolter55
de volter@55🙃 :
kaka niliona hii clip kwa jamaa angu nilikua nakutafuta kukupa shukran nimepata kazi😅bonge moja la mbinu kaka😂🤣
2025-07-10 14:20:00
398
clementina_chalamila
Clementina_melapride🤎🤍🇹🇿 :
Hii ina make sense🥰, 😁😁 kiimani zaidi me naanza leo
2025-07-03 05:28:39
190
abouviva
Abouviva :
Kwahyo mwanang tunawez kuingia hadi Lugalo au vp 😂😂
2025-07-02 20:29:16
187
its.medymoo
Mohamed Wenceslaus :
me nlipata kazi kwa njia hiyo
2025-07-02 18:57:31
274
sirngimba
sirngimba :
niliwahi kwenda Exim na hizi fact mzee 😃 yule mama alicheka balaa maana sijui confidence nilitoa wapi tu 😃 ila next week nikaanza kazi 😃
2025-07-11 15:10:43
99
sousuma_3
sousuma_3 :
aiseee nimerudi baada ya like yangu nacomment sasa nimetembea na code hiyo mwezi haukukata waĺah muda huu na comment niko kazini nimeitafuta hii clip
2025-07-21 01:45:37
67
marota_og
MAROTA_OG :
hakikisha una ela ya kuzulula😂😂😂
2025-07-04 15:19:02
25
orangepearl1
Orange Pearl :
code ya kutoka magetoni always work out....umenena vema 😂
2025-07-03 06:18:53
18
lambofgod901
the guardian :
😂😂😂 we mwamba ww nenda muhimbili kuna mchongo wa montuary😂
2025-07-04 18:03:07
9
pauline2492
Pauline ❤️cha upole❤️❤️😔😔 :
kweli code nauli sasa ndio cheche😂
2025-07-04 20:51:17
7
chuger_tz
👑 CHUGER TZ 💎🗽 :
kwani kazi yenyewe inasemaje
2025-07-03 18:13:59
7
_amtyrek
𝓐𝓭 𝓶𝓮𝓵𝓲𝓸𝓻𝓪🇹🇿🖤. :
mzee nilishawahipata kazi na nikawafundisha kazi hao wafanyakazi wa hapo😂😂😂
2025-07-03 06:01:38
21
charmingirl12
charmingirl12 :
Ngoja nitoke apa ndani, nataka nije kutoa ushuhuda apa fanyeni kuacha like
2025-07-28 16:43:44
8
hango.paul
@Po.hango24✍️ :
kweli kabsa kaka hapo nimepata funzo💪💪
2025-07-05 05:59:08
12
dylancruzx
Mr.King🇹🇿 :
sema umeongeaa 🤣🙌🙌
2025-07-02 16:58:51
85
user7601788167706
UNCLE J🧠💪🚖 :
YAN HAKUNA WATU WANAOKOSESHA KAZ WENZAO KAMA WALE WADADA WA MAPOKEZ MAMAE 😂😂🤣🤣🤣
2025-07-19 05:22:56
6
johnjritaja
junior god :
Umetisha mwanangu😂🔥🔥🔥✌️✌️
2025-07-04 15:16:49
6
finestbeayoung
beayoung :
jinsi "kazi" inavyokusklizia
2025-07-02 22:38:34
18
To see more videos from user @cench.06, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About