@hawaronaldo45: Pilipili ya mirimbi 😋#creatorsearchinsights #f #fyp #fypシ゚ #foryoupage #fypp #fyppp #chili #fypdongggggggg #cook #tik_tok

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 July 2025 11:30:27 GMT
357513
9983
439
1184

Music

Download

Comments

harriet.ezra
Harriet Ezra :
mbirimbi nyingi mno
2025-07-31 16:31:28
0
pretty_marry00
pretty_marry00 :
Hiyo siyo pilipili , huo mchuzi wa kulia ungali kabisa 👌☺️
2025-07-03 21:38:15
92
kisura98
This is Me 😜🥰😊 :
Unazuia nin isichache
2025-12-06 16:58:03
0
mke.wa.mtu45
mke wa mtu🤍🤍 :
mashallah 💓💓💓💓
2025-07-28 23:55:19
0
officiallyinasolfar
𝒾𝓃𝒶_𝓈𝑜𝓁𝒻𝒶𝓇 🇸🇩+🇹🇿 :
aya bana😋
2025-07-05 11:36:45
0
112babes
Happysoul112 💛 :
the harufu sasa jamn nthaka hii pili pili na kipilau😩😫❤️😊
2025-07-04 09:15:21
16
aisha_ze_influencer1
Bi_Aisha❤️ :
dada naomba kujua spice ulizotumua ni ganj
2025-07-03 18:51:32
11
iffa821
𝓟𝓾𝓻𝓹𝓵𝓮 𝓰𝓲𝓻𝓵💜 :
Mwaka wa 3 sijala mbirimbi 🥹
2025-07-03 18:02:37
5
kay4real34
itsme :
ila tiktok kila mtu anamajina yake ivi ni mbilimbi au mirimbi ila inavutia mirimbi iyo😂
2025-07-03 19:46:58
3
user2038790883577
Antiru :
mbirimbi za chemshwa mwanzo upo
2025-07-19 17:34:00
1
mamyhappy5
marion :
uwatu c unaleta uchungu
2025-07-17 17:39:20
0
witness.saimon8
Witness Saimon :
nakuja na bakuli langu 🥰🥰🥰😢
2025-07-13 18:10:15
0
mrs_inadi
Umekunywa Brufen♌️ :
Uwatu wasaidia nn ?
2025-07-19 16:53:27
0
nurucute6
Nuru cuty :
mapenzi icho Cha manjano ni kitu Gani ??
2025-09-13 11:48:31
0
mumy498
Rishma :
inanukia mpaka jirani yangu kaja niuliza eti napika nini😍😂😂😂
2025-08-07 10:13:01
7
nikhati
NIKHAT :
inanukia iyo mpaka hapa nilipo naiskia harufu yake
2025-07-27 10:40:05
2
lostsoul2094
💔❤️‍🩹 :
Pilipil ya mbilimbi ukipata na biryan😍,aya karibun vipenz napokea oda za birian🥗❤️😍.napatikana kijich -daresalaam
2025-07-05 16:19:19
5
witness.saimon8
Witness Saimon :
mmmmh🥰🥰wewe ni mzaliwa wa tanga au🙏
2025-07-13 18:09:13
1
nurucute6
Nuru cuty :
Jamani mie mshamba dada mkubwa ivo ulivo tia baada ya mafuta ni vitu Gani please naomba kujuwa ???
2025-08-02 15:42:30
2
fetty.fetty.hms
Fetty Fetty HMS :
vitu unavyo tia tuandikie tujue nn
2025-07-13 13:37:32
0
natty_designs1
natty_designs1 :
Naomben na samaki wa kukaaanga na Ugali wa moto kwanza 😭😂
2025-08-26 17:20:56
3
riziki.li
Riziki li :
mashallah pilipili tamu
2025-10-01 12:23:07
0
tenahuvo
Tenahuvo💕 :
hakuna pilipili uliyoweka
2025-07-09 21:08:03
1
boiykaa82
Boiykaa82 :
mashaallah sasa hiii yataka pilau
2025-07-13 18:04:18
0
inner2004
fetty :
wew dada una sifa eeeh ndo nin kututoa mate🥹😂
2025-07-09 18:17:16
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About