mim noamba ile nyimbo ya ambasador iyosema don't say tomorow naupendg san
2025-07-07 10:17:25
1
user3578003462102 :
nyinyi tunawapenda sana
2025-08-05 09:59:18
1
@sanyucarolina# :
wow,, napenda Sana,tuombeane,, Mungu awabariki sana AOCC
2025-08-23 15:27:54
1
Dr dentine :
kuna moja sijuagi jina ya waimbaji nibya harusi.
inaimbwa Mungu awabariki awapendao watoto......... tukimpenda Mungu atakuwa kimbilio............... tumtegemeeeni maisha yenu yote. msaada wa hii plz
2025-07-06 12:30:02
2
Ranviour :
Naupenda sana huu wimbo☺️
2025-07-08 18:53:02
1
Data AI🩸💎2️⃣8️⃣ :
barikiwa sana
2025-07-05 20:32:06
3
Kobusinge Esther :
I need jubilee full video from ambassador of Christ 🙏🙏
2025-07-29 10:20:56
1
it's.tumainjr :
Bwana yesu asifiwe wana wa mungu
2025-07-06 08:14:53
1
Binti Kayoza :
naomba nifanyie ya siku za kilio zimeisha kwa ambassador
2025-07-07 12:35:21
1
DENIS MONEKA :
mwana asifkwe
2025-07-31 21:45:03
1
lenny mugisha :
mimi naomba ile ya wimbo mpya wa Mussa
2025-08-04 17:42:13
1
Shadrack Tanzania :
nifanyie nyimbo moja sijui ni kwaya gani iliimba . wimbo unasema damu wengi waliyoikataa ndiyo iliyomponya mwizi sikuile
2025-09-01 14:12:53
1
winfred 🌹 :
nipe ile ya songambele choir inaitwa kama unanipenda
2025-07-17 13:52:04
1
Philo Anga :
Mubarikiwe
2025-07-05 20:34:16
1
dorah :
amen
2025-07-05 16:39:06
1
Data AI🩸💎2️⃣8️⃣ :
nmekumbuka mbali
2025-07-05 20:32:22
1
Sharon 🥰🥰😍 :
Thanks so mich my dear this will my daily morning alarm ☺️☺️
2025-07-03 16:58:15
4
Mama JapheMar :
Amen♥️♥️♥️
2025-07-04 15:29:17
2
Pendo_Josiah🌴 :
Me naomba hii moja inaitwa maombi imeimbwa na hawa sijui walawi Tz
2025-07-09 16:17:14
1
Mariam Paul. :
thanks mom joy🥰🥰🥰🥰
2025-07-04 06:09:24
1
To see more videos from user @mumjoyfaith69, please go to the Tikwm
homepage.