shenzi wewe,, umefanya nimecheka kwanguvu na niko kwa mazishi...🤣🤣🤣🤣
2025-07-13 13:11:18
14
Almando45tz :
mwisho wa siku uliwe na mamba kisa unatengeneza mahudhui ya TikTok 😜😜😜
2025-07-06 12:41:58
8
Roy kimechwa :
uwezi jirusha maji hivo nikunyime liki mkuui
2025-08-07 15:31:30
7
Leysahands Mobile salon 💇906 :
TikTok ukijichetua like zako😁
2025-07-05 18:30:00
13
Sir NdutU :
Kikubwa Ujumbe Umefikika Kaka🤣🤣🤣
2025-07-06 10:27:08
2
Elizakimaro@ :
nimeshindwa kuvumilia ngoja nikupe likes
2025-07-08 18:45:49
7
eshaz :
chnga kijit apo ndan ya maji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣cje ukatok apo tako lawasha utadan umeekw plipli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-08 07:23:15
3
Patrick lewis :
katikati ya nchi yenye mali za Kila namna, madini ,kilimo, ufugaji, uvuvi, lakini Bado vijana hawana ajira wanaamua bora wachanganyikiwe Ili wapate chochote kitu. na Hawa ni wasomi wazuri tuuu. shkamooo CCM 🤣🤣🤣😅
2025-07-06 21:49:09
2
Ibra-Tycoon :
Huwezi rusha mwili ndani ya maji kiasi icho alafu nikunyime like 😂😂😂😂😂😂