@nizzoh_brand: Subira yako leo, inaweza kuwa sababu ya familia yako kung’aa kesho. Maneno haya sio ya kawaida ni baraka kutoka kwa wazee wetu. Tafakari kisha andika mawazo yako kwenye comment section 🙏 🙏 #BabuWaHekima #ManenoYaBusara #MotishaKwaVijana #HekimaYaKiafrika #SwahiliWisdom #rwandatiktok🇷🇼 #AfricanWisdom #inspiration #tanzaniantiktok🇹🇿 #DeepKiswahili #TikTokMotivation #kenyantiktok🇰🇪 #Foryou #Foryoupage #FYP#fypシ゚ #VideoZaMotisha #ugandatiktok🇺🇬 #busarazawahenga #viralvideos