“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.”
Yn 14 : 6
2025-07-10 16:29:12
0
idrisa nikiyi :
mashallah mungu akuongoze kwa kujua ukweli
2025-07-26 13:00:04
1
Gaddafi#26 :
wenda ni kweli maana,hata Yesu wakat yupo Msalabani alisema "Mungu wangu,Mungu wangu ,mbona umeniacha""je yeye ni nan?🤔and am Christian sema nampnga kwann hakusema sku zote kuna jambo hapa
2025-07-10 20:16:30
7
jomweno mkal :
JE TUFATE BIBLE AU TUFATE WATU
2025-07-12 04:31:54
4
Busekele phones :
sijaelewa mm nachojua yesu ni Mungu
2025-07-08 13:13:20
7
yohana mussa :
tazama bikira atachukua mimba ataza mtoto ataitwa imanueli yani Mungu pamoja nasi ni Mungu acha kutuibia wewe
2025-07-10 17:11:08
4
Fransic Charles :
asa wanaosema yesu mungu ina maana alianza dunia na watu ndio akazaliwa mungu😂😂
2025-07-10 09:54:13
13
Theo :
huyu mzee hana content
2025-07-09 21:28:56
1
☛✞ 𝐀𝐧𝐭𝐨𝐧𝐢𝐨✞ ● :
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani.
2025-07-10 08:08:04
9
AMEURAFA_Producer BIIIIIIIII :
ASKOFU LAKINI HUJUI KUONA NAKUYAJUA MAFUMBO YA MUNGU ,KAM YEYE SIO MUNGU MBONA JINA LAKE LINAPITA MAJINA YOTE MBINGUNI,DUNIA NA KUZIMU
2025-07-10 08:09:40
1
dereva msomi :
ili zombi linaonge bila vifungu..tupe aya zinazokanusha kuwa yesu sio MUNGU. Yohana 1:1 hapo mwanzo kulikuwako neno naye neno alikuwa kwa mungu naye neno ni MUNGU Yohana 1:14 naye neno akafanyika mwili akakaa kwetu nasi tukauona utufufu na nuru yake... ili uelewe hili unapaswa ujue sababu ya yesu kuja duniani... sababu ilikua ni kuja kufanya upatanisho (ukombozi) ambao usingeweza kutimia kwa damu ya mwanadam mwenye dhambi. kwahiyo huu ukumbozi ulitakiwa ufanyike na mungu mwenyewe sasa kipengele kinakuja kwamba ukomboz utafanyikaje wakati mm mungu nikishuka chini nikakutana na mwanadam lazima afe ndo ikaja ajenda ya Mungu afanyike mwili afanane na mwanadam yan awe na sifa za mwanadam ila sio asil ya mwanadam.... ndo unaona akazaliwa kwa muujiza wa mimba isiyotungwa na mwanaume akaja kwetu akafanya lililomleta akapaa kuru kwa baba
2025-07-13 07:38:09
0
Dee 𓃵 🇹🇿🇬🇧🇰🇪 :
Makafiri wengi ni wabishi tu lakini hata wachungaji wao wanajua ukweli 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-11 20:22:26
10
Mussa :
Ndo maana nasemaga asilimia kubwa ya wakristo wengi wanaupungufu wa akili chuma kimewanyooshea
2025-07-11 19:35:07
8
DIRECTOR KING SOLOKO :
Kwani yesu alioa na kuzaaa? Na uzao wake ulikuaje duniani?
2025-07-10 17:58:01
2
Michael Helela :
biblia imekaa kihuni saana Mzee ndio mana inawachanganya watu na inahakiksha mpk wanachanganyikiwa Kuna mistari vtu vingi saana haviipo sawa kwenye bible ndo mana inawagawa makundi makundi watu, Kuna mistari mingi saana ambyo inasema yesu ni mungu afu Kuna mistari mingi pia inasema yesu nabii na mtu wa kawaida na Kuna mistari pia inasema yesu n mwana wa mungu na IPO mingi tu, kwa hyo ili uilewe bible kama imekaa kihuni lazma uwe muhuni kama cc lakn pia hucwe kwenye nje ya box ya dini na ni mistari ambyo inaeleweka vzuri kwa kiswahili
2025-07-09 13:48:42
10
paul :
Warumi 3:3 Ni nini,basi,ikiwa baadhi yayo hawakuamini?je!kutokuamini kwao kutaubatilisha uaminifu? wa MUNGU? YESU NI MUNGU WA KWELI NA UZIMA WA MILELE AMINA.
2025-07-12 04:39:58
3
Okelo Tv :
MIMI NA BABA TU MMOJA, ALIYENIONA MIMI AMEMUONA BABA SASA WASEMAJE TUONYESHE BABA.?
MIMI NA MUNGU TU MMOJA, ALIYENIONA MIMI AMEMUONA MUNGU SASA WASEMAJE TUOBYESHE MUNGU.?
2025-07-09 20:20:53
2
Bellavistar_01 :
TUNAWAPENDA ALLAH AKUONGOZENI KATIKA UKWELI ILI MUEPUKANE NA MOTO
2025-07-10 07:00:14
23
To see more videos from user @aveva23, please go to the Tikwm
homepage.