lakini vile ulihug karangu kwa event ya triza was a red flag tata essy, eeiish mpaka ukamlalia kwa mabega surely??
2025-07-09 06:22:59
58
kajoyjoy :
lakini Essy ulicomment ati mimba Sio ya mzunyee,Bona ulisema hivyo
2025-07-08 21:52:47
95
mamake steve :
I knew trizah hawezi Rudi Kwa colour go
2025-07-08 21:53:27
84
mum twin_njeri :
naye triza ameharakisha sana🙆🧑🍼
2025-07-08 22:22:12
23
macharia Shie Maggie :
triza was pregnant since ,Acha kutubeba ufala ,
2025-07-09 03:35:51
67
carolpesh :
Tata essy nakuabia ukweli unipende unichukie staki kupedwa mm😂 unakuanga very dangerous wewe hukulia mtu kwa mfuko hata macho yako inaonyesha
2025-07-09 10:36:18
162
Ray Kiragu :
You said alitoka kwako bila kusema tena unasema ati mliketi chini na wachungaji😂.....nyoka hii
2025-07-09 13:29:21
144
Jane Jane :
kamam oga mwili yote mum ako busy nimekupea ruhusa 😅😅
2025-07-09 00:41:20
44
Terry terry :
huyu mumama ni dangerous
2025-07-09 01:34:45
396
Sarah Rita :
huyu ni mkora ,,anajitoa tu
2025-07-08 22:09:05
52
Linda :
Nikama ulikuwa unataka kuolewa na Karangu akaoa Trizah, juu honestly unakuwanga na beef kubwa sana na life ya hao watu.
2025-07-09 01:37:45
15
sweetie soul 🥰🥰 :
Tunajua Triza ni pregnant 🥰
2025-07-08 21:42:31
14
jitegemee :
kitu najua essy ni mkora period ni hayo tu kwa sasa
2025-07-09 06:46:13
63
muso nyambura :
huyu mama ni pepo
2025-07-09 02:05:52
24
Triza Wainaina :
team Nyarari wangu I'm happy 😊 ❤️❤️
2025-07-09 05:02:45
81
New berries 🍒 :
We are better juu tulichanga?
2025-07-10 08:43:36
1
no name😂 :
c umusema mimba ni ya uncle kin 😂Wacha kujifanya
2025-07-08 20:52:14
18
Wanjiru :
Am smiling on behalf of Queen Nyarari
2025-07-09 03:03:13
62
maureen sila :
huyu mama ni roho chafu
2025-07-09 08:00:47
55
Wangui Naomi :
na wewe si ulisema trizah alitoka kwako kma hajakwambia, tena mlikaa chini na yeye na wachuganji akasema anataka nini... essy conokaga hanini ukihenania
2025-07-09 06:21:08
69
To see more videos from user @reen_backu, please go to the Tikwm
homepage.