asante sana sana kabisa mungu akulinde... mi nataka mimba lakini sibebi iki ni tibu nitakuleteya zawadi...
2025-07-14 14:52:11
11
chimammy10 :
naeza tumia tu bila kuchanganya chochote na nibebe mimba
2025-07-14 07:36:46
4
Ms cute :
nilitumia mchanganyiko huo niliongeza karafuu na kitunguu saumu lkn tokea hapo sijapata period nikacheck mimba sina
2025-07-14 06:05:52
7
nurul munaythar :
habari
2025-07-16 09:54:54
2
shangazi🦋🦋 :
wachemshaa vitunguu na maganda yke tu au
2025-07-16 12:12:38
1
aaaa :
nahitaji mimba natumia wakat nikiwa p aua
2025-07-16 13:49:29
2
Sophiescent :
tumpe creator maua yake anajitajidi kujibu maswali ya kijinga bila kuchoka🤣🤣
2025-07-30 20:17:23
8
KimBresh :
Inatibu Endometritis?
2025-07-11 14:23:48
2
user1112002612097 :
kama unamtoto mdogo anaye nyonya inafaaa
2025-07-14 13:11:54
2
wardha@G :
unaeza kunywa kama hujaona period
2025-07-21 19:42:19
1
mam j :
kama unavidonda vya tumbo unaluhusiwa kutumia
2025-08-08 11:09:30
1
muna :
kama piriod hupati ukitumia unapata
2025-07-11 20:37:46
1
user VR :
na weza vichemsha zaid ya mala moja au ni kitumia mala moja inatosha na je nweza hifadhi kwa chupa ?
2025-07-12 19:06:03
2
Nezia Nzotha :
kama una p,I d
2025-07-12 16:32:02
1
faraj lukomo :
namba please
2025-09-03 20:43:55
1
OLIVATZ ❤️💃🌹🎤 :
unatumia ukiwa kwenye siku za hedhi au baada?????☺️
2025-08-04 13:43:55
3
Reama Aatiktok.com/@reama.aa3 :
mm sipati kbc perid je naweza tumia hii
2025-09-02 18:35:00
1
Lady phania 🥰😊 :
vitunguu vingp na maji kias gani
2025-09-07 16:49:55
2
sugar ripss 🧚🏻♀ :
nilikuwaga nina zaa mtt mmoja mmoja lakina baada ya kunywa hii dawa saivi nina zaa mapacha walio shikan wa nne wa nne 😭😭😭😭
2025-09-02 17:25:53
2
mrs diaby :
na ukiwa na uvimbe wafaa kunywa
2025-07-12 10:11:21
2
Eunice Philip :
nakunywa ikipoa ama
2025-07-17 08:55:36
2
Queen🌺🦋🦋 :
ko vitungu nisimenye
2025-08-25 10:04:18
2
Ummu Nihlah Collection 👜🛍 :
ni lazima viwe red??
2025-07-12 18:17:14
2
treasure💕 :
kila siku unachemsha vipya au unahifadhi unakunywa kila siku
2025-08-12 07:47:46
2
Mi reina♥️♥️@mama b💍🔥♥️ :
na ushuda jamn sante sana kipenzi nimetumia hii dawa nimeenda hospital nAAambiwa Sina tena shida ya pid sante sana ,,Sina chakukupa zaidi ya kusema ahsante umenisaidia
2025-08-21 09:57:55
2
To see more videos from user @afyayakojukumulako, please go to the Tikwm
homepage.