@djtravellamrmixondo: @𐎏𒐕𒁀𒑚𒌨𒑚

DJ TRAVELLA MR MIXONDO 🇹🇿
DJ TRAVELLA MR MIXONDO 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: BE
Thursday 10 July 2025 14:15:03 GMT
1203104
55723
1407
1291

Music

Download

Comments

milner428
Milner :
dah nd mana mitumba siku hizi inanuka jasho kumbe singeli ishafika tayar
2025-07-11 10:30:27
925
user52913024731247
Jonas Tz🇹🇿 :
kama unaikubali Tz🇹🇿 wote hapaaa♥️👊
2025-07-11 05:14:25
870
zon_dimy
Dimy :
Wale wa like 10/10 muje 🔥
2025-09-06 20:18:01
7
mzuwaphotograph
MZUWA photography :
unae soma hii comment 🥰 Mungu akulinde 🙏
2025-09-05 13:40:24
39
nurah.daniel2
nuraty 💔😔😷 :
huyu wa shati nyeusi hapo . mbele ni mzaliwa wa mbagala
2025-07-13 12:23:31
67
user6302666229041
by scanner OG :
uyo mwamba wa shati nyeusi mwanetu💪
2025-07-11 14:15:43
107
mwapwaningede19
Latifa ngede :
huyo wa shati Jeusi mzuka umepanda ataka kupaaa🤣🤣🤣🤣
2025-07-10 19:49:04
109
bonnymabilika
Bonny mabilika :
HUYO MWENYE SHATI JEUSI AKIPIGWA VIZURI ATASEMA KWAO NI MBAGALA SEHEMU GANI🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-23 17:17:27
60
qutyness
𝒸𝒶𝓁𝓁𝓂ℯ🇬 :
wa bongo atushindwi kitu...😂😂😂..wanao mkubali misomisondo gonga like apa
2025-07-11 06:18:20
54
simonyosse1
simonyosse207 :
huyu jamaa mwenye miwani nae vp alitaka kummwagia Dj bia nini😂🤣
2025-07-16 06:23:56
8
user81821015401218
@its.fau :
🤣🤣 nimecheka et kunamtu kasema ndomana sikuiz mitumba inanuka jasho
2025-07-14 14:45:55
7
zeddyzuuh723
it's your girl zeddyzuuh ❤️ :
huyo wa shati Jeusi n jumaa😂😂😂😂
2025-07-12 21:00:41
37
jannelle.awadhi
Jannelle Awadhi :
Uyo alovaa shart nyeusi ni Juma wa huko🤣🤣
2025-09-08 07:22:52
6
user725814859624
jackson kayombo :
like kwa tlavel apa
2025-07-11 19:20:25
5
mkali1220
userMkali More :
huyo mwamba wa shati nyeusi ukimwambia kwake kuna UNGUA MOTO akienda niite MBWA Kichaa.. halafu familia kbsa huyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-15 15:21:54
10
user2881971628405
S2kizzy khan.: :
mbn huyo mwenye tixhet nyeus anaonekan kabxa wakusin
2025-07-11 20:45:50
5
lnation0
L,Nation575 :
koo hawa ndo wahuni wakihindiii 😂😂😂
2025-07-11 13:46:32
5
mgwegwejr_
tr_chipo :
Ndiyo maana viatu vya mtumba vinakuja vimeisha sana siku hizi 😅😂
2025-07-12 11:16:53
11
hanaf8383tz
MR.hanaf&forever😉 :
cheki wanavolukaluka kama bisi kwenye sufuria😂😂
2025-09-04 14:39:46
35
simonyosse1
simonyosse207 :
kuna dada aliyevaa dhambarau kushoto mmemuona jaman!? aje bongo
2025-07-11 05:36:13
34
blackvadoh
🇰🇪 Ambani :
Hii nayo nimeikubali FROM KENYA
2025-07-11 06:12:02
15
jovith.godwine
Jovith Godwine :
we nooma Mzee baba endelea kutuwakilisha
2025-07-11 19:27:35
6
marie97103
MERRY :
kumbe wanazieleeawa nahamsemi jaman 💚
2025-07-11 06:33:05
5
user6148467748142
MR JITU :
kwan ni pekeangu tuh ndo nimeangalia zaid ya mara mojaa😃😃😃
2025-07-23 20:27:26
6
salisa_maestro
salisa_maestro :
Watu wafupi mjipange nasikia vita ya tatu ya dunia nyie ndo mtatumika kama mawe😂😂😂
2025-07-16 08:53:23
6
To see more videos from user @djtravellamrmixondo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About