Sawa ni kero kwenu lkn siku zote huko kukusimulia au kusumbuliwa na mwanamke ndo mapenzi kwa upande wa mwanamke ,wanawake tunapenda sana attention kwa watu tunaowapenda na siku mwanamke atakapoacha kukusimulia siku yake ilivyoenda akiwa hapigi tena simu kila wakati basi fahamu kabisa HUYO SIO WAKO TENA BRAZA😂😂
2025-07-11 16:26:43
6
ᥫ᭡ 𝒫𝒽𝒶𝓎 ᥫ᭡ 𐙚 😘 :
Wanaume hawapendi kupendwa , wanaume ni wabinafsiii
2025-07-11 17:17:15
5
Heroine :
Ukiona skuuliz kimbiaaa nakuw nishakuchoka 😂😂😂😂
2025-07-11 11:41:57
5
@MELVIN STORE 🎀 :
Kwanza ukipta nafasi y kuulizwa na mm hayo maswali shukuru MUNGU
2025-07-11 09:08:19
5
innocent 123fn0 :
kichwa cha familia na hata pengne bajaji Huna,mtu mkirekebshwa hamtaki
2025-07-11 11:52:36
4
glorycakes01 :
Kama tu mimi nisivyopenda kuulizwa ulizwa maswali🤣🤣😅🤝
2025-07-12 04:36:06
4
madam_hk :
Uzuri mmoja na mim sina hata huwo muda wa kuiliza😅
2025-07-12 11:35:23
4
🫧˚Maggie Braids.🎀༘⋆ :
Hampendi au wewe ndo hupendi emu usowapotoshe watu😂😂😂
2025-07-11 15:02:24
3
muhandoally :
Mwingine ana kuuliza uliza ana kuchora ili na yeye afanye yake
2025-07-12 09:23:53
3
Lioness Gamalolo :
Mungu atoe wanaume wote duniani atuletee species ingine bana
2025-07-11 16:47:12
3
raya collection :
basi kumbe nyinyi machizi eeeee basi subiri tuwaonyeshe
2025-07-11 16:09:02
3
Ms—suhayla❤️🌸 :
Ngoj nisev itanisaidia sku moj kwkua mwenyekit wao kasema
2025-07-12 14:23:26
3
Fatma glamour 🥰❤️ :
usipooo uliza anasem umeach kumpenda n kumjli
2025-07-11 14:27:42
2
WISE MAN :
Mumuelewe vizuri huyu jamaa, sio kuulizwa , ni kuulizwa ulizwa yani to much. Na ukiwa mtu wa kuuliza sana au kujali sanaa ht hadhi yko inapotea unaonekana km unajipendekeza unakua kero.
2025-07-21 08:44:40
2
CANSUH :
Atajua mwenyewe lkn mm namuuliza na atanijibu tu😆😁
2025-07-11 17:44:31
2
ZURI WEAR :
unasema mtu kuwa clingy ni tabu, jaribu kuoa ama kudate mtu hamnazo. ndio utajua ukwaju kiungo
2025-07-11 15:53:21
2
~soso🧸✨ :
waii mara mnapenda kudekezwa mara amtakii 🤣🤣🙌
2025-07-11 11:57:19
2
Evaline E Terry :
@datty hata mimi mwanaume nisiempenda sitaki aniulize maswali
2025-07-11 11:09:52
2
To see more videos from user @official_trezy, please go to the Tikwm
homepage.