@vitu_kutoka_germany: Tunazo MACHINE kali, MPYA NA USED ORIGINAL FROM DUBAI. Loc 👉 KINONDONI MKWAJUNI DELIVERY 🚚 YES MIKOANI TUNATUMA #semiautomaticwashingmachine #twintubwashingmachine #WasherDryer #laundryday #laundry #washingmachine #lgwashingmachine #samsungwashingmachine #hisensewashingmachine #tanzaniatiktok #fyp #zanzibartiktok #omantiktok #dubaitiktok #gulf
vitu_kutoka_germany
Region: TZ
Thursday 10 July 2025 23:27:45 GMT
Music
Download
Comments
Aggnes :
Kama unatumia mashine Ila wakat wa kukamua inatumia nguvu sana yan mpk inasogea sehem uliyoweka shida inakuwa nn? Je ni setting nimekosea au
2025-08-26 08:38:45
1
ibn_shariff :
pesa za kenya ni ngapi
2025-08-13 05:55:15
1
maryam maryam :
hizo mpya za manyo unauzaje
2025-07-11 11:08:31
1
Mpale_store :
shngap Boss
2025-07-11 05:54:38
1
Fatma Hilali :
bado zipoa shingapi
2026-01-26 04:06:53
0
user1653933025002 :
sh ngapi boss unauza
2025-07-11 07:08:03
0
Amina Nambaya :
aslm aleykum vp khali yako ndug / samaani mm naitaji iyo mashine unapatikan wapi plz naomba unijibu na pia napmba no yako samaani
2025-07-11 10:18:10
0
Sharifa Danda :
nchi za kiarabu hakuna shida ya maji ila tu maji yao niyachumvi
2025-07-13 09:11:07
0
Nbn :
Acha uongo nchi za kiarab hakuna maji yake chumvi..!!!
2025-08-29 03:56:49
0
Seni :
Naomba fundi wa mashine yangu inavuja
2026-01-09 13:14:02
0
Kanch_Electronics :
Elimu safi.
2026-02-03 09:14:28
0
Toony :
Hiii ni heavy duty kwa Kazi za kufua Shuka na taulo za Lodgee Nilitak moja
2025-07-11 21:36:35
1
Zainabu Kassiba :
kaka. hizi. mpya bei gani lita 10
2025-07-11 11:54:22
1
cas-sandrabaibby❤️ :
Mko na ya aina ya Luna ama Haam
2025-10-31 23:10:46
0
Salim salim Awadh :
bei gani
2025-10-08 06:35:22
0
Avel :
normalize kuweka bei
2025-07-11 09:39:06
1
MTETEZI WA TANZANIA🇹🇿 :
kg 15 bei
2025-07-11 06:52:12
0
Mrs.FMM :
bei gani
2025-09-24 11:41:11
0
rachelflowers0787055335 :
Bei gani?
2025-10-15 19:53:33
0
rahimakhiyar :
iyo ya silver ni bei gani na ni kilo ngapi?
2026-05-12 18:38:02
1
🇹🇿FUNDI WASHINGMACHINE NADRY :
Fundi washing machine 🇹🇿 PIGA NAMBA IPO
2026-03-06 20:42:26
0
rau :
shingapi boss
2026-02-01 17:24:40
0
MTETEZI WA TANZANIA🇹🇿 :
bei gani km hii
2025-10-18 14:45:42
0
✳️ReignHQ🇺🇬🇹🇿🔹 :
Kama hii manual nia Bei gn Kama hii
2025-07-11 08:38:22
0
To see more videos from user @vitu_kutoka_germany, please go to the Tikwm
homepage.