@team_numbi_sa: 🎉 Happy Birthday Muzi Thubane🥳🥳 🔥 Muzi Thubane 🏁 Spinner for Team Numbi Young, fearless, and full of potential. Muzi, you represent the future of spinning 🏁 passionate and driven. On the pitch, your energy speaks for itself. Keep spinning, keep growing, and keep raising years filled with blessings, success, and greatness. Team Numbi is stronger because of you! 👑💯#bmwmotorsport🏎 #redbulldanceyourstyle #hazyviewmpumalanga #rockracewayv8driftqueen #mbombelamotorsport @Shiba

TEAM NUMBI SA 🇿🇦
TEAM NUMBI SA 🇿🇦
Open In TikTok:
Region: ZA
Saturday 12 July 2025 13:06:23 GMT
10149
458
4
14

Music

Download

Comments

smkelo43
S@mkelo :
He is back in the game 🙌
2025-07-14 00:57:11
0
konateissouffou
KONATE :
💯💯💯
2025-08-15 21:49:14
0
siyaales.and.katie
Siya ,alwa and Katie :
❤️❤️❤️
2025-08-22 21:50:25
0
cokza.g
COKZA G :
🥰🥰🥰
2025-07-17 11:42:06
0
To see more videos from user @team_numbi_sa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15.*🛐🙏 *MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA.*  *🌸SAA YA TATU (3).*🌸 *(Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi na kidonda Katika Paji la uso wake Hadi kifo chake mwaka 1457).* Ee Mungu chemichemi, huruma na msamaha ulimteua Mtumishi wako Rita wa Kashia ili awe mwombezi wa wote walio katika mahangaiko MAKUBWA. Nakuomba kwa maombezi yake yenye nguvu, neema ya kuondokana na shida hii KUBWA 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 *( Hapa Taja Shida Yako )* 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 Bila maombezi yako Ee Mt Rita, siwezi kujinasua na shida hii KUBWA. Nakusihi uniombee kwa machozi yasiyokoma mbele ya Altare ya Mungu huko Mbinguni  Mungu hakukatalii wewe kitu chochote kwani wewe ni Mtakatifu na mwombezi wa yote yaliyoshindikana kwa akili za kibinadamu. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu.  Amina. *Baba Yetu × 3* Baba yetu, uliye mbinguni,  Jina Lako Litukuzwe.  Ufalme wako ufike.  Utakalo lifanyike, duniani kama huko Mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku.  utusamehe makosa yetu,  kama sisi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.  usitutie vishawishini, lakini utuokoe  mwovuni.Amina. *Salamu Maria × 3* Salamu Maria, umejaa neema. Bwana yu pamoja nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. *Atukuzwe × 3* Atukuzwe Baba na Mwana na ROHO Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina. *LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA*🛐🙏 Bwana Utuhurumie, Kristo Utuhurumie, Bwana Utuhurumie, *Kiitikio *
*NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15.*🛐🙏 *MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA.* *🌸SAA YA TATU (3).*🌸 *(Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi na kidonda Katika Paji la uso wake Hadi kifo chake mwaka 1457).* Ee Mungu chemichemi, huruma na msamaha ulimteua Mtumishi wako Rita wa Kashia ili awe mwombezi wa wote walio katika mahangaiko MAKUBWA. Nakuomba kwa maombezi yake yenye nguvu, neema ya kuondokana na shida hii KUBWA 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 *( Hapa Taja Shida Yako )* 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 Bila maombezi yako Ee Mt Rita, siwezi kujinasua na shida hii KUBWA. Nakusihi uniombee kwa machozi yasiyokoma mbele ya Altare ya Mungu huko Mbinguni Mungu hakukatalii wewe kitu chochote kwani wewe ni Mtakatifu na mwombezi wa yote yaliyoshindikana kwa akili za kibinadamu. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. *Baba Yetu × 3* Baba yetu, uliye mbinguni, Jina Lako Litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike, duniani kama huko Mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. utusamehe makosa yetu, kama sisi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. usitutie vishawishini, lakini utuokoe mwovuni.Amina. *Salamu Maria × 3* Salamu Maria, umejaa neema. Bwana yu pamoja nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. *Atukuzwe × 3* Atukuzwe Baba na Mwana na ROHO Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina. *LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA*🛐🙏 Bwana Utuhurumie, Kristo Utuhurumie, Bwana Utuhurumie, *Kiitikio *"Utuhurumie"* Baba wa Mbinguni, Mungu, Mwana Mkombozi wa Dunia,Mungu, Roho Mtakatifu, Mungu, Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, *Kiitikio* “Utuombee"* Maria Imakulata Mama wa Mungu Maria, Mama mfariji wa wanaoteseka Maria, Malkia wa Watakatifu wote Maria, Mwombezi mpenzi wa Mt Rita *Kiitikio* “Utuombee"* Mt Rita, Zawadi toka Mbinguni: Mt Rita, Mwombezi wetu mwenye nguvu: Mt Rita, uliyejaliwa Utukufu: Mt Rita, mstaajabiwa tangu utoto wako: Mt Rita, mpenda upweke: Mt Rita, Kielelezo cha usafi wa moyo: Mt Rita, kielelezo cha upole wote: Mt Rita, kielelezo cha mke mwema: Mt Rita, kielelezo bora cha mama mtaratibu: Mt Rita, kielelezo cha msamaha wa kweli: Mt Rita, kielelezo hai cha kujikatalia: Mt Rita, kioo cha maisha ya kitawa: Mt Rita, kioo cha utii; Mt Rita, mvumilivu wa kustajabiwa; Mt Rita, shujaa wa kujitoa sadaka; Mt Rita, shahidi katika kufanya toba Mt Rita, mjane mtakatifu; Mt Rita, mkarimu kwa masikini; Mt Rita, mkarimu kwa masikini; Mt Rita, mkereketwa wa kuitikia wito mtakatifu; Mt Rita, aliyeingizwa utawani kimuujiza; Mt Rita, harufu nzuri ya manemane; Mt Rita, bustani ya kila fadhila; Mt Rita, mpendezwa na Yesu Msulubiwa; Mt Rita, uliyechomwa na mwiba kwenye paji la uso; Mt Rita, binti mpendevu wa Bikira Maria; Mt Rita, mwenye kiu ya upendo wa Kimungu; Mt Rita, uliyevikwa utukufu; Mt Rita, lulu ya mbinguni; Mt Rita, utukufu wa shirika la Mt Augustino; Mt Rita, tunu ya thamani ya Umbria; Mt Rita, mwenye nguvu za utakatifu; Mt Rita, msamaha wa wanaopata mahangaiko; Mt Rita, mfariji wa wanaoteseka; Mt Rita, nanga ya wokovu; Mt Rita, mwombezi wa wagonjwa; Mt Rita, mwombezi wa mambo yaliyoshindikana; Mt Rita, kimbilio la walio hatarini; Mt Rita, msaada wenye nguvu kwa wote; Mt Rita, mastaajabio ya ulimwengu; Mt Rita, uliyepokewa mbinguni kwa furaha; Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, *"Utusamehe Bwana"* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, *"Utusikilize Bwana"* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia *"Utuhurumie"* *K:* Umemtia alama Ee Bwana mtumishi wako Rita *W:* Kwa mhuli wa upendo na mateso *TUOMBE*: Ee Mungu , ambaye katika wema wako wa daima, umependa kusikiliza maombezi ya mtumishi wako Rita. Utujalie kupitia maombezi yake, yale ambayo yameshindikana kwa nguvu za kibinadamu. Utuhurumie sisi tunaoteseka, uwasaidie wote wasiokuamini wajue ... #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #usa🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿

About