@zombicute_: wakatazeni watt wenu kuhusu kujamba(kupumua) mbele za watu, ni karaha🥲

Ms mwanya ❤️
Ms mwanya ❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 July 2025 06:52:09 GMT
179764
7644
216
166

Music

Download

Comments

user6965818435828
Eche james :
mofal hakubali kosa liwe la peke ake ata siku moja atatafuta t kes ampe na mwenzie mjambaji huyu
2025-07-13 07:59:20
42
cucurela01
Chelsea Hazard Pedro :
Cousins Kujamba ni kufanya nini
2025-07-13 07:34:58
15
darkesire
Darkesire :
kujamba ndio kunyamba ama ?🤣🤣🤣
2025-07-16 15:19:55
3
mrs.khalid66
didah al mbarawa 🤍🤍 :
mofal mitano tena😂
2025-07-13 10:21:23
6
khalidqasimu
khalidqasimu :
angaliya vitu vya kutupostia unatufedheheshea familiya yetu
2025-07-13 08:33:49
0
mshirazy
mrs Ajay :
aliekwambia km kaja kuchekesha apo nani soma maelezo apo chini ndio utaelew nini amemaanish
2025-08-11 11:26:43
3
user2081410884618
mama ayan na ahyan :
moulal mm nataka siku moja nimuone aunty hawa
2025-07-13 11:51:57
4
umihalim05
userfrm :
Wakijamba tena watie mikwaju😅
2025-07-13 08:00:32
3
bintibakari537
Binty nkolo :
🤣🤣🤣wemjambaji sogea jamani
2025-07-13 19:07:29
2
hidaya.said67
Hidaya Said :
Lakini uhaiii😂😂😂
2025-07-17 13:58:50
2
ifa.bby4
lady ifah 🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲 :
Yani ukiwa na watot mda wote kesi 😁😁😅
2025-07-13 09:05:28
2
khateebmikidadhaji
khateebmikidadhaji :
skilizeni nyie wajingaa jasti anafurahi na watoto Kwan watoto wako mnachoyoo wajingaaa waswahili mkose la kisema mbwaso pwekaa
2025-08-18 17:13:56
2
user8624169714584
hbeautifull :
ukiwa na watoto wengi haya lazima yakukute kila siku utakua unaamua kesi 🤣🤣🤣🤣
2025-07-21 17:16:48
2
stecybrenda
stacybrenda :
kwani si kunyamba tena..
2025-09-01 14:31:38
1
bahyou81
Bahyou :
Makuthudi 😂🤣🤣
2025-07-30 07:11:30
1
sharrie870
Sharrie🦋 :
inaeza kuwa ni kunya...m..b..a ama
2025-07-14 05:00:32
2
katoto_83
Ms Passionate :
We mjambaji 🤣🤣🤣🤣
2025-07-29 04:44:21
1
tumammykipepeo0
DOUBLE NAAH❤️🤍🌹 :
mashaAllah nyumba imechangamka😂😂😂
2025-07-16 10:29:35
1
user5132572772096
huruma sio malezi :
sasa jamani staa wetu asipumuwe anti 😄😄😄😄
2025-07-14 20:31:38
2
user2450571453483
Naah :
mjambaji😂😂😂😂
2025-07-13 19:31:45
1
papaawikoawikoawi
papa awiko :
maksud, makusudi, kujamba wakenya ni kunyamba eti😂
2025-07-16 11:17:54
1
masoudjamal415
WISE MAN :
Mambo mengine ata sio comedy ni fedheha na upuuzi, angalia nn cha kurikod na nn cha kupost.
2025-07-13 15:03:14
0
its.eiram
Eiram :
😂ila moufal n kabishi
2025-07-13 07:39:45
1
jumaa_majumba
jumaa_majumba :
kaka nimependa coment yako huyo dogo kweli hakubali kosa hata iweje yaani lazima ampe kesi mwenzake laa akatae
2025-07-13 12:05:42
1
theonly1_92
The one :
Mjambaji😂😂😂😂
2025-07-13 07:01:07
0
To see more videos from user @zombicute_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About