🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tulio Cheka kwa sababu ya coment ya mithiri ya chapati like hapo.
2025-07-17 10:17:28
5792
#De_breezy :
There is a legend reading the comments and not writing anything 🤣. How are you boss🤣?
2025-07-16 14:18:22
1543
Queenie classic :
Mara ya mwisho alivaa kunya humo humo na alionekana mwenye furaha
2025-07-15 14:55:50
2903
Threest@r***👌🥰 :
Tulio cheka kwa kusoma comment mpoo🤣🤣
2025-07-16 15:19:47
660
she's jojo🍀 :
tukubaliane kbs rangi ya nguo ni chapati iliyokosa moto
2025-07-16 07:33:28
546
maria :
Ila utoto rahaa hapo hawaz atakula nini au atalala wapi na hapo anataka achezee ili apotee wazazi wahangaike kumtafuta 🤣🤣🤣 dah
2025-07-15 11:03:20
890
ELKINS :
training for mandamano as young as possible
2025-07-15 22:03:39
281
reenie cute 🥰 :
nilicho gundua coment zinafurahisha kuliko vidio😂
2025-07-16 12:26:00
463
mwanah :
🤣🤣🤣🤣🤣alikuw mcheshi sana ,anapenda kujishuhlisha na shughuli za kijamii
2025-07-15 17:45:27
174
purity de queen :
kanavyoend na biti sasa
2025-07-15 09:05:51
188
Dylan💖gift💖damian :
sijui mbona hii video imenifurahisha
2025-07-15 22:20:28
98
monny Mony :
😂😂😂😂😂hii nayo siwezi pita hivi hivi 😂😂😂😂
2025-07-17 18:49:33
23
maureen🌹 :
alinimaliza vile aliinua mikono akikimbia😂😂😂😂😂😂nwey tukiendelea kutafuta mtoto mpotevu😂😂😂😂😂 tutasema pia anakaa mtoto lakini mi mtu mzima ufupi tu huo🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2025-07-18 03:01:12
22
Daniel Paulo :
...tuliokimbia kwenye comment tuonane hapa
2025-10-10 09:16:48
6
Rahama masudy :
wenye kusoma coment wenzang mpo wp🤣🤣🤣🤣
2025-07-17 15:51:42
13
@BiswaloThegreat~255🇹🇿 :
nikajumbe kwenye uchaguzi mwaka 2040
2025-08-11 17:43:05
6
hawa abdallah :
anavyofuata biti sasa 🤣🤣
2025-08-04 11:30:25
5
Denno wa Faridah :
kama umecheka ukiwatcha kama mm gonga like tukisonga
2025-07-25 14:42:39
38
KIMBERLY 🤫 ❣️ :
who noticed that GOD is good 😊😊😊
2025-07-21 18:41:24
259
Chief godlove 66 :
alafu kajaja kanajifanya kama kanazuga zuga kama kanaenda Kam kanarudi jichanganye ugeukie pembeni ndo humuoni tena😂😂😂
2025-07-16 07:31:53
30
my perusi :
Alivyo serious Kama vile yey ndio anadaiwa Deni la taifa
2025-07-22 10:24:15
5
Tinah Theophan :
jamani nimechoka Hadi nimejikojolea
2025-07-17 11:29:41
15
it's halima :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ety alikuwa na nguo ya mithili ya chapati niue kabisa
2025-07-22 05:38:21
9
kitts :
Hutu twa soko huwa hatupotei ni tumjsja sana 😂😅
2025-08-05 18:39:22
5
To see more videos from user @samuelmway, please go to the Tikwm
homepage.