@imaniwinchislaus: IMAN GYPSUM DECORATION Tunageuza nyumba yako kuwa ya kisasa na yenye mvuto! Tunatoa huduma za kitaalamu katika • Gypsun design • Upakaji wa rangi katika ubora na ubunifu(quality painting) • Moulding za kisasa na kuvutia • Ufundi wa vigae(Tiles installation) • Tv showcase za kisasa • Renovation za kisasa(kwa nyumba chakavu • Sikimingi Kwanini utuchague? Ubunifu wa hali ya juu, kazi safi na ubora usio na mashaka. Tupo Dodoma, lakini tunahudumia mikoa yote ya Tanzania! Wasiliana nasi leo; 📞 +255789053916/+255621014018 📲 Instagram:@iman_gypsum_decoration Tiktok @Imanigypsumdecoration Iman gypsum decoration;Ubora unauona,ubunifu unaouhisi #Imangypsumdecoration #GypsumTanzania #MarekebishoYaNyumba #DodomaDecor #InteriorDesignTanzania #HomeMakover