@bongotzfm: COLE PALMER SHUJAA CHELSEA ALIYESHABIKIA MAN UNITED - @chisanojr Sikiliza Bao la @baolaasubuhi Kila siku Jumatatu - Ijumaa kuanzia saa 12:00 Asubuhi Mpaka saa 3:00 Asubuhi, tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @bongotzfm pia tusikilize kupitia Radio Box na Radio Garden tafuta Bongo FM. PROUDLY SPONSORED BY @vodacomtanzania @irene_kilango09 @cheyolutenganotz @chisanojr @nashon_mwambande @peterlugendo16 @nazareth_upete @baolaasubuhi 🖥@issasuleiman855
Bongo FM
Region: TZ
Monday 14 July 2025 07:28:20 GMT
Music
Download
Comments
Camavinga :
Waliokua hawaamin kama Chelsea atachukua club world cup gonga like👍
2025-07-14 07:45:40
107
amiry.gamer :
daaah nimelia sana watupe Palmer wetu😅
2025-07-14 10:41:53
15
KG talent :
umri wangu huo ila hata chenga sijui😂😂😂
2025-07-14 09:55:07
22
Frank Alex :
hiyo celebration ilianzishwa na Drogba mseee😂
2025-07-14 19:17:25
9
Seii :
Nani kama mimi utotoni nlikuwa man united af ukubwani chelsea😁
2025-07-14 09:28:35
11
jochua bhoke :
ume juaje
2025-07-14 09:32:01
6
Bin_Gobore :
mwana unajua sana
2025-07-15 09:46:51
3
_mwangole :
Ukiacha biashara, city wanaumia kumuacha dogo lakini ujue ni nini. Tumelipiza kwa D BRN
2025-07-15 11:44:53
4
2xscott :
cole palmer to the world
2025-07-14 08:42:59
7
Peter James Kadudu :
binafisi nakukubal
2025-07-14 09:55:14
4
Official KITONGA :
🔥🔥umli wangu kbs yani 🔥
2025-07-14 09:06:37
4
jullyjohn435 :
mtoto mbya sana huyo
2025-07-14 09:31:11
2
emmaxendru1 :
ss wanasubiri nn kumpa Ballon D'or yake😂😂😂
2025-07-14 11:56:13
2
Joseph :
ningeshangaa huyo ni wetu huyo😂😂😂😂
2025-07-14 15:25:42
3
@uncle Ben junior07 :
Wacha bangi
2025-07-15 10:00:42
1
Binno440 :
UWAKIKA 😁😁
2025-07-14 08:31:20
2
Zuru mjeuri ?🍁 :
kaka
2025-07-14 08:38:31
2
RACHIDE WMB :
pa🫢🫢🫢
2025-07-14 07:38:38
4
JEY :
kaka unajua
2025-07-14 13:45:04
1
🇱🇷🇳🇴KING OF SKY BACKUP🇺🇸 :
kazi nzuri brother 👑
2025-07-14 10:40:25
1
CredoJR :
kaka haya madini unayachuliaga wap
2025-07-14 21:23:27
0
Aleko :
ni onana ndiye alikuwa shabiki wa man u labda umesahau
2025-07-16 04:12:36
0
ERICK :
Erick PETER NYANDA MAALUFU KISHOSHA kutoka madundas Mbarali mbeya kwanini ateba haendi
2025-08-15 04:27:29
0
Chelsea Boy Sirlim 🥰 :
Nakubali Kaka
2025-07-14 22:30:20
0
real_Jsp :
ila sasa ni chelsea dam ya blue💙💙💙💙💙💙
2025-07-14 12:34:09
0
To see more videos from user @bongotzfm, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.