uko sahihi mm ni group o positive naazima watu hela hatakama staking kutoa na hela ninayo najikuta nimekwenda kutoa hela nakumsaidia huyo mtu ila sasa ninapokuwa nashida hakuna anaenipa
2025-07-14 19:01:49
32
saidah :
Am group 0 postively na nakubaliana na ww
2025-07-14 11:55:02
25
user2875477457929shilen💝💞 :
yani umelenga kabisa yani nimimi kabisa
2025-07-14 11:51:24
28
Raji :
mim nina group 0 lakin sasa apo kwenye kusamehe haraka hapan ukinikosea wew kazi ata miaka 10 ntakulipiza kisasi huchomoi labda unikimbie mbali na niskuone tena
2025-07-15 10:08:45
18
HMD-click-baike :
kabisa chief ni kweli kaka nakukubali sana kaka angu
2025-07-14 11:57:56
12
mamadamba :
Mimi kutoa hutoka Sana lakini sisaidiwi alafu nachukiwa bure sa huanajiuliza Mimi ni Nani hasua
mi group o positively nasijawahi kuumwa ugojwa wakunifikiaha hospital sijawahi
2025-07-15 06:43:33
6
peace & Love 💖 :
kweli kabisa brother,uliyosema yote ni kweli kabisaa 🙌
2025-07-15 20:16:40
4
Adman :
daaaah bro nakuelewaga sana kaka pamoja sana kaka
2025-07-14 11:29:48
5
@egehiza J :
mimi ni group 0positive lakini mtu akinikosea huwa anapata mapigo makali sana na niki tabiria mtu mafanikio huyo mtu hufanikiwa
2025-07-16 10:39:36
6
princessmallya371 :
ndo mimi natenda wema mimi sjawah saidiwa
2025-07-16 14:15:48
5
Faty love :
sahihi kaka jamani
2025-07-16 04:17:34
3
joy zombe 🥰🥰 :
Mimi ni damu group o positive bona chochote☺️
2025-09-08 08:26:57
1
Daudi Ngomeni :
Aisee big up sana leo umeongea facts sana kaka
2025-07-14 11:48:26
12
Rahma Ali :
Asante
2025-07-18 07:50:47
2
juma :
umesema ukweli 👍👍👍
2025-07-14 10:17:20
11
Maasai woman🌷 :
Nilikuwaaga sikuamini ila kwa hili imenifanya nikuamini kaka sorry
2025-07-14 17:27:31
6
Zuchu lee kids collection 🔥🔥 :
Big up my brother ♥️♥️
2025-07-15 21:38:12
2
Asma khany 123 :
Kweli 🥰🥰
2025-07-15 05:32:25
2
CHIMBY 🦬🦬 :
tupo pamojaa chief Godlove👍💯
2025-07-14 12:31:13
4
Mr Alain Patrick :
group O sio rahisi kusamehe pia uwa wanarudia kusema eti ulinikosea siku ile yani wao kusamehe hakuna. pili wanapenda kumiliki wengine wao ndio wasikilizwe wenye hasira za karibu
2025-07-16 08:04:09
4
ziada kilave :
nikweli kabisa kaka Mimi ni group o lakini nakuwa na huruma ,nasaidia watu sana ila nikiwaga na nashuda Mimi nakosaga msaada
2025-07-16 17:27:46
4
mariakhan :
Kwel kabisa
2025-07-15 20:27:38
3
Anna Omary :
ni kweli kabisa kaka
2025-07-16 13:03:07
2
To see more videos from user @masonic_organization, please go to the Tikwm
homepage.