Even if he says he'll take care of it, jiulize kama uko tayari kuzaa na kulea 💯
Not all that glitters is gold, darling 💯
2025-07-15 13:08:14
1011
Agatha :
Mnaskia ama mshapata mimba?
2025-07-15 15:52:31
764
🦋Wangui💜 :
gals,It's my birthday
2025-07-15 12:57:56
583
Ninah🦋 :
mnaskia huko nyuma 🎤🫴
2025-07-15 14:37:14
592
vivo :
but guys why mtu afike huko si you just abstain🤨
2025-07-16 12:08:28
111
Wamboh Maggie :
facttt....
some girls end up hating motherhood na kuchukia watoto wao because the society forced them to keep/have it at a certain age😂😂
wachanan na Cheney watu wanasema uliamua kupata mtoy at 40 that's your baby gurrrrllll
2025-07-15 12:52:15
285
Gloria :
There is a legend reading the comments and not writing anything 🤣. How are you boss🤣?
2025-07-15 14:48:47
196
Thee Millennnial :
Otherwise 6 chini ya ulimi
2025-07-16 13:51:45
57
Anne🇰🇪🇰🇪 :
na Niko Na mimba ya 1week 🤣🤣🤣🤣😢😢😢😢
2025-07-15 19:30:36
32
leilah🍁💯 :
Ikikam unplanned mbili juu mbili chini morals ndio zilifanya wazazi wetu wako na watoto wakumi wanashindwa kulea wanaachia firstborns nkt
2025-07-17 06:46:18
56
miss mwale :
ungesema kitambo sasa ntafanya nini😒
2025-07-16 05:04:30
49
Zaara.Aqsa🌹🌺🌸 :
mtu anataka kutoa akuje nimlipie na ninunue matunda😂
2025-07-15 20:46:28
14
Aisha shaniz🇰🇪🇩🇪 :
yoooh 🥹💔 am 4 months naweza weka mbili chini juu wueh am tired nah 😩
2025-07-21 07:30:22
6
Mary njoki :
Na hizi advice za mimba ni mob hii mwezi😂😂😂nimetoka kw vida ya steve then boom kuna mwenye hadi anatushautia😂😂😂mungesema kutamboo🤣🤣🤣
2025-07-15 19:02:54
20
SHIKO🍫🎀 :
Nataka status viewer's 🥲😂😂
2025-07-15 15:43:38
8
jacque_liss :
heeelp....I need this one month stranger out
2025-07-15 14:21:57
8
REINA🌸🎀👑 :
SAY IT LOUDER!!!!
2025-07-16 17:41:24
61
Nommy ♏ :
yessssssss😩😩😩😩😩... kila mtu akue stingy na uterus yake
2025-07-16 23:59:15
10
Yvonne Rop :
Sasa hii ni nini naskia nikiwa 6 month?
2025-07-21 02:26:45
6
tee🐨 :
ndio natoka kuambiwa na colleague anadai nizalie bf 😭😭😂
2025-07-15 19:01:18
6
Ms Maru :
Nyinyi wabebaji wa mimba mmeskia??? Huyo mtoto ni wako fully! Hata baba akuwe asikuwe, mtoto ni wako.
2025-07-16 12:55:18
42
kariuki pesh :
even if ako ready kulea please be physically emotionally mentally and financially prepared juu msee anaeza toka asubuhi Tena adedi huko nje utaduu
2025-07-15 18:11:34
18
To see more videos from user @online__bestie, please go to the Tikwm
homepage.