@totolakishirazy: Visheti vya chanuo #fypp #fyp #fyp #fyp #fyp #fypシ゚ #fypp❤️‍🔥❤️‍🔥 #fypシ゚ #fypp #fypp #fypp #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿

TOTO LA KISHIRAZI ASILI
TOTO LA KISHIRAZI ASILI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 July 2025 14:31:14 GMT
449690
8446
201
1481

Music

Download

Comments

1234lm72
1234lm72 :
Napenda kupika mume hapendi kula🥺
2025-07-16 20:36:17
42
maryam.juma.mtali
maryam juma mtalimbo :
tunao jua kupika tujuane bapika nanapika tena km nimeosema mapishi kumbe kitu kupenda tuu napenda kupika mm kuliko kz ingine zandan mapishi damdam mm
2025-07-16 07:09:45
35
didaa725
didaa :
masha allah
2025-07-16 12:46:12
1
e2sha7
Ayuuch :
Masha Allah
2025-07-15 22:10:31
1
miriam.malogo7
Miriam Malogo :
Hongera kwa upishi bora
2025-08-30 17:50:53
1
fatumamhina48
Ummy Najoom 🥰❤️🙏 :
Asantee kwa nilikua sijui wanafanyaje ivi vya chanuo naweza vya kawaida tu ubarikiwe 🥰🥰🥰
2025-07-20 16:03:35
4
prettymamu_
prettymamu_ :
ungetafuta style nyingine ya kuvifanya hivyo visheti lakini sio chanuo
2025-07-18 19:39:15
5
jamillafarshady
@millah :
Mashallah 🥰🥰 kipnz
2025-07-16 11:32:31
1
srightnow4
sR®~~ :
Mungu aijalie na mm mke km ww mpishi☺️❤️❤️
2025-08-12 09:14:35
3
kyandotheresia
𝘾𝙖𝙨𝙩𝙤𝙧𝙩𝙚𝙙𝙮🌺 :
samahani kipenz ukishavipika hiyoo sukari unaweka vpeee
2025-07-18 16:08:29
2
user3619571010735
user3619571010735 :
wao
2025-07-16 05:22:12
1
user1935888114696
Restituta fulgence :
Mbn me shira yangu aikauki Kwenye Visheti
2025-07-17 08:20:34
2
user9324638114354
NASHEE :
jamani casted pia tufundishe nimeila lakisijui yapikwaje
2025-07-17 15:45:42
1
fatmabakari885
fatmabakari885 :
kwani hukutia mafuta ya kupikia
2025-07-23 15:11:28
0
user2804261259167
ukhtysaaa :
naomb kujua hiyo sukar ni ya aina gan tuoneshe unavoitumia
2025-10-02 05:10:29
1
aishaomary986
Aysher🌹 :
Ulivomaliza kukanda uliacha uumuke
2025-07-18 16:54:39
2
user4342855753204
yumna omar :
napenda kujua na mm dada
2025-09-01 12:28:17
2
user12536660850530
cute banaty 🌹 :
samahan dada naomba unifundishe kupika vileja na katilesi
2025-09-21 19:32:41
2
saraphinaidrisa
phina❤ :
Nazi unaiweka ikiwa aje samahan lkn nabsukari unaweka kwa juu
2025-10-02 04:15:15
1
nivacakes
Niva cakes :
nakupenda babe ubarikiwe 🥰
2025-07-23 06:57:04
1
marcelinamartini
marcelinamartini :
minakosea wapi nikipika juu kinakuwa kama kiandazi kidogodogo
2025-08-27 10:59:58
0
swaumuhamis169
Swaumu Hamis :
Malizia bc had mwisho dada ukishavichoma kwny mafta unapaka na sukar kwa nje au,,na kama unapaka hiyo sukar unaipikaje
2025-07-16 20:25:26
0
mrsjay84
Mama boy's ❤️ :
MaaShaAllah
2025-07-16 07:50:17
1
mwaminhassan
mwaminhassan :
mashaalla
2025-07-16 10:57:40
1
sayenay21
Sayenay21 :
Amekuna nazi, akablend tena ilainike kidogo machicha yasionekane!
2025-07-16 14:45:20
2
To see more videos from user @totolakishirazy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About