@richmsafii: Ebna eeeeh 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥

Rich Msafii
Rich Msafii
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 July 2025 17:06:58 GMT
1037899
84277
2068
1961

Music

Download

Comments

mkakaa_
Mkakaa 😎 :
marioo katuharibia beat mwenye nalo ni huyu 🔥 🔥 🔥 🔥
2025-07-15 20:43:42
1479
patraty
Little mom🫧🧚🏻‍♀️🦋 :
Moro moja mgeta ndo nyumbani weeeeeh🥰🥰
2025-07-15 21:06:17
165
user725814859624
jackson kayombo :
mitoto ya moro tujuane apa
2025-07-15 19:02:57
1382
jay_meddy
jumaa mkondoa🙏 :
mtu kaambiwa ajaribu yeye anakamia😁
2025-07-16 08:04:31
984
jabaofficial77
𝗝𝗔𝗕𝗔⍟🔥 :
uzur wa TikTok unasoma comment huku unaangalia video kama unavofanya ww ndugu msomaji🤣🤣🤣🙌
2025-07-16 10:49:08
646
06mrromantic
MrRomantic♥️ :
kwan si kaombwa ajalibu mbona anauwaaa sasa😂😂😂😂💔
2025-07-16 06:43:19
521
big.brother68750
Big brother 🖇️👽 :
Kama unamkubali jay combat like hapa tuondokeeee🔥💨🎉
2025-07-15 19:42:10
1549
annodaboy
Anno__Da_Bway :
mbona ilo beet ata Dogo rema anapita nalo 😂😂😂
2025-07-15 21:10:50
298
desoniax
Deson Google :
Hii Kali kuliko original
2025-07-15 21:32:03
271
cham1879
Chama 💫 :
kwaiyo hio nyumb kaitunga hpo😳
2025-07-15 18:20:54
151
pretty.midah
pretty midah :
Nishamuwahi jay combati🙌🏻
2025-07-16 20:29:05
46
moo_msafi
Moncks :
huyo msenge alopiga back vocal ana kitu😂😂😂
2025-07-16 00:23:18
110
kichwa_andazi
kichwa andazi :
Nakumbuka niliwahi kwenda kijijini na babu yngu akaniambia "mjukuu wangu haijalishi comment yako haina maana kwa vyovyt vile bado kuna mtu ataisoma mpk mwisho" na leo nimeamini 😂😂
2025-07-16 23:40:07
53
lemtyaelia25gmailcom
ELNICO JR@ :
daaah huyu jamaa sanamu lake lijengwe mtawala pale au kingalu kule
2025-07-16 06:16:03
75
drkammy
Dr. Kamila :
Sas Jay unaimba kila kitu wenzako waimbe nini sasa😅
2025-07-16 14:31:42
90
amady.madizo
amadi barua :
moro ya vipaji kwaheshima broo jay combat👍👍👍
2025-07-16 09:40:27
46
beach12453
Kipara :
tunao mkubali rich msafi tujuane
2025-10-05 19:07:08
5
poindz101
Poundz101✌ :
huyu msenge nomaaa🔥
2025-07-16 20:24:58
9
e_kweka_electronics_moro
E_Kweka_electronics_Morogoro :
uyu ndo jay basi wanangu wa mafisa wanavimba balaa 🙌
2025-07-16 09:37:19
94
almas.msomali
Almas msomali :
kaombwa ajaribu yey anaua yan huyu awezag utan kumbe 😂
2025-07-16 18:30:01
63
classcdiary
Classc diary :
Mitoto ya moro kipaji asili yetu💕
2025-07-16 14:10:15
29
prince_charming225
LONG_LIVE_TO_KING👑👑 :
nishabeba moro town singeli town😂🔥🔥
2025-07-17 12:39:51
44
omarabdallah724
NEVER L😳😳K BACK :
Hii ni moto haikuandikwa nimetoka kichwa tayari huyu anajua anachokifanya respect
2025-07-16 23:48:04
8
fehyleey
fehy98 :
mhhh sasa apo amejaribu ama ameimba kabisa duhhh kuna watu wanajua wanakeraaaa🤣🤣🤣sas angepewa mda wa kutunga si angeua moja kwa moja
2025-08-15 08:06:34
6
rahiimsaid08
rahiim said ❤️‍🩹 :
🤣Mbona kama kwa heshima
2025-07-16 08:45:13
32
To see more videos from user @richmsafii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About