😭😭 yah rabby mjalie pepo iliyo njema na utujalie mwisho mwema sote
2025-07-16 17:24:37
151
it's ØmmarleyMsømali_77🇸🇴✅✅ :
inaumiza san🙏Watu wema wote wanaondoka,Vipi me nawew ambao ata quraan Atuijui vzur alafu tunajiita waislam😢Ni kumuomba tu mwenyezi atupe mwisho mwema maana tunapokwenda ni kunatisha🙏😭😭
2025-07-17 08:05:26
65
❤️💯 :
innalillah waiina ilahi rajiun
2025-07-16 12:15:01
13
Asha kinyafu :
subuhanaah allah,allah ampe kauli thabiti uko alipoo 😭😭😭😭😭😭
2025-07-16 12:14:27
21
Radhi Ni mali :
Allah ampe makazi mema Peponi insha Allah
2025-07-16 23:27:21
31
Abdillah Omari :
Mwenyezi mungu amuondoshee azabu za kabri ampe pepo njema na ss tuko nyuma yake utupe pepo njema