@almesbah.swahili: "KUONGOZA KWA MFANO Imam Hussain (A.S.) alituonyesha kwa vitendo kuwa uongozi bora hauwezi kuwa bila bila vitendo bora. 💡 Mtu yuko na yule anayempenda, na watoto wetu watajifunza zaidi kutokana na yale tunayoyafanya, siyo tu maneno. 🔥 Kuongoza kwa mfano ni njia ya mafanikio na malezi bora. Unataka kuwaongoza kwa mfano? 🧑👩👧👦💫 •┈┈┈┈┈••✾••┈┈┈┈┈┈• #UongoziKwaMfano #ImamHussain #MaleziBora #KuongozaKwaVitendo #Mafanikio #Uongozi #Inspiration #Leadership #Parenting #TikTokViral #FamilyGoals #UongoziKwaMfano #ImamHussain #MaleziBora #KuongozaKwaVitendo #Mafanikio #Uongozi #Inspiration #Leadership #Parenting #TikTokViral #FamilyGoals #VitendoBora