@kmkmakuburi: Tembelea YouTube channel yetu kutazama video nzima ya KMKMAKUBURI walivyoimba kwenye Tamasha la Mkatoliki 2025. 🔥NEXT STOP => KMK EXECUTIVE GALA 2025🔥 #kmkmakuburi #kmkexecutivegala #thestepofhope #tegemeoletu #concerts #catholicchoir

KMK MAKUBURI
KMK MAKUBURI
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 17 July 2025 10:55:39 GMT
655007
37068
467
1190

Music

Download

Comments

danterry.onserio
#Terry Onserio :
Kama unapenda hii choir piga like tukisonga🥰🥰
2025-07-17 19:54:37
454
mstempress254
MsTempress0🇺🇲 :
Use earphones and thank me later
2025-07-18 23:50:08
125
rosegebra5
rosegebra5 :
vibe km hili unapata wapi? najivunia kuwa mkatoliki😍😍😍
2025-07-18 02:57:28
149
98shii3
Shiro 👭Jay☂️☂️ :
Watching this nikiwa St. Joseph Ngong Cathedral Kenya🇰🇪🇰🇪mwanakwaya sauti ni soprano💯akili yangu na matamanio yangu ni kuhamia Tanzania💯😘😘i just love this Choir ya Makaburi
2025-07-17 20:33:24
6
kelawyne_04
c_ky♥️ :
goosebumps 🥰🥺♥️♥
2025-10-03 04:11:44
7
karemboangy
FRAU M❤️ :
Giving flowers to the tailor 🥰
2025-07-18 20:26:50
7
user1040829526831
💜~Kerubo🦋💉🩺💜 :
catholic to the world 🌍 forever proud🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-07-17 20:31:50
7
user83729419312485
Gilbert King👑👑 :
yaani mpaka mwili unasisimka wakatoliki jamanii we acha tu❤️💖
2025-09-10 05:17:47
11
ms.ngina1
Ms Ngina :
we need this in Kenya
2025-07-20 18:59:13
6
prisca_regine
Prisca Regine :
Sijui kama mnaskia nduru zangu😂😂🔥🔥🔥🔥
2025-07-17 16:11:02
47
rose.george84
🌸Rossette Collection -001🛍️ :
Narud Zangu Roman mim jaman
2025-07-19 08:46:16
51
callmesabthe
Sabdee🦋😍 :
Mkatoliki daima 💯❤️🙏
2025-07-17 15:25:44
68
user6863140559227
Melania❤️ :
Sku zote najvunia kuwa mkatoliki,,maana cyo kwa raha zote hz unajhs upo mbnguni😂😂 hongeren sana Mungu azid kuwaongoza ktk kaz yenu ya kuinjilsha🥰🙏
2025-07-17 22:16:38
9
user3071888067015
@sylvia01 :
naanzaje kuhama katoliki na hiz raha nimuachie nani☺️😂😂
2025-10-09 07:23:27
6
_viwanja_kigamboni
Justin LAND EXPERT :
Muwe mnatutumia location wapendwa hata sisi tunatamani kushiriki makongamano kama haya
2025-08-15 02:18:45
8
aragonmg47
MG wisso47 :
kwan hua mnafanyiag wap... muwe mnatamgaza maparokianii
2025-07-18 17:24:13
19
shahn.bundi
Shahn bundi :
Ama nihamie Tanzania juu yenu
2025-07-18 09:41:21
22
theophil.marijani0
Theophil Marijani :
hii nyimbo ni tafakari tosha kiukwel hongeren sana
2025-07-17 18:40:52
5
user1881020577800
Doreen Ngajilo♥️🌹 :
naziri yangu kwa Mungu nifike kanisa lilipo niwaone kwaya hii pendwa live one day♥️
2025-07-17 15:43:53
7
upangwafinest
Mario ngovokho :
Huyo mwamba wa ngoma🙌🏽🙌🏽🔥
2025-07-17 12:52:14
6
kalybort
Kalybort🕶 :
next week naanza kwaya it's very urgent 😁
2025-07-18 06:26:13
19
tallrasta1
tallrasta1 :
Alaf kuna mtu kakazana et tunaabudu sanamu
2025-09-15 20:11:12
7
masymaggie
Maggie Maggie :
naomba kujiiunga na hii kwaya, taratibu mtarekebisha sauti yangu..
2025-09-01 13:59:37
7
blessyanna1
BlessyAnna🫶♥️ :
aki mkuje Nairobi🥰
2025-07-17 13:28:23
17
sweethome_furnitures
SWEET HOME :
aliye wahi kwenda kwenye KMK executive Gala anambie nna maswali yakumuuliza
2025-07-17 13:27:05
7
To see more videos from user @kmkmakuburi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About