last born we tupe kadi za graduu kuhusu mtihani tumewaachia mjini fm
2025-07-19 19:16:33
148
MAZURI PHONES :
Nimeamua kuacha kuuza simu nimfatilie paten kwa karibu😂😂
2025-07-19 22:56:03
45
Mom rujaina 🦋🌷 :
kwa hasira izo alaf saut isikauke😂😂😂
2025-07-18 18:21:40
94
pili k :
mbona sajent atakushinda uweleweki
2025-07-20 12:40:43
11
Real Dox :
nimeiwahi hii nyimbo ni ya kwakwangu sas olewenu atoke mbwa aseme hii ngoma ni ykwake nitajua jitu
2025-07-18 18:14:48
28
Ciah charming🦋🦋 :
Unalilia yako🤣🤣 .,,KIPOCHI MANYOYA YANGU🤣🤣
2025-07-28 22:50:40
6
niffer🦋 :
inabid tuskie tu atakam atutaki kuskia kwasab ni last born😂😂😂😂
2025-07-21 14:38:44
11
Gift Jaydan :
zaman tulijua ukikosea kuchora paten kweny SM Nd unafungiwa kumbe ata saiv ukimkosea t ata paten unafungwa😅
2025-07-26 19:13:26
8
Merry tz❤️ :
Mbona siku hizi diamond nampeda San 😭😭😭😭😭😭
2025-07-20 07:21:56
5
babe🦋 nuuh🦋📍 :
lioneni hili😂😂😂
2025-07-18 17:58:18
5
Ibrahim :
ila nipo na patten mpk kichwa kitoke maan sio kwa kukitikisa huko😂🥰
2025-07-21 14:28:46
5
jacque🥰 :
dogo ushaanza kutufokeaa🥺🥺🥺🥺😂😂😂😂 ndio nataka
2025-07-19 13:33:11
12
kon official :
wanataka shulè wanasoma wao
2025-07-18 20:31:12
5
Selina Vicente :
😂😂😂 Unataka yako
2025-07-19 12:45:02
5
mercygen2 :
mchezo wa like 5 tunalipana
2025-07-31 10:07:38
5
Asmah Hans :
😂😂😂 Nini icho kinacholiliwa
2025-07-19 17:11:03
5
Cyana :
unalilia yakoo!!???😆😂😂
2025-07-18 17:41:02
9
Blessed Lanji🥰 :
umerudiii sasa tiktok ichangamke sasa😂
2025-07-18 19:33:33
23
Mandwanga land agency :
patern kule wamefungiwa tena, sio kufungiwa tu wapigwe na faini ikiambatana na kuomba msamaha adharani mbele ya dgo patern sambamba na kupiga magoti ikijumuisha wakiita mvua bila kusahau bakora 10 kila mmoja ili iwe funzo kwa wapuuzi kama wao🥺🥺🥺🥺 mganga wa patern mitano tena
2025-07-19 14:32:05
6
justine @☆♤♡ cite caver :
wame fukuzwa na tume achia goma kar kweny interview yao 😭🥺🤭😄😄😄😄🙌👎
2025-07-18 23:09:12
29
cute nah💫💫 :
yan uyu dog ban unanililia yako m ndio nimesha potea jamn😊😊
2025-07-19 10:54:54
5
yuni 2nyi💥 :
kwani tako langu lako ,,, unalitaka lako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-18 20:28:20
8
nachi jojo :
kwan graduation ya paten lini saizi apumzishwe afanye mitian na wakimtungia last born mtiani mgumu tunaandamana
2025-07-19 15:27:36
5
Rayvannah💝🇹🇿 :
ifike mahali patern apumzike jmn😅
2025-07-19 05:50:30
9
oddochino :
hata kama ni yako ndo tusililie?
2025-07-18 17:15:34
5
To see more videos from user @tonylyrics266, please go to the Tikwm
homepage.