@mgogodan: #pastordanielmgogo #husbandwife #marrying

Spiritual Growth
Spiritual Growth
Open In TikTok:
Region: SA
Friday 18 July 2025 07:29:01 GMT
1036168
37126
1818
10353

Music

Download

Comments

ljdelicacies
Alily :
Hata macho wanakosa,mara socks ziko wapi....
2025-07-19 20:47:54
566
muhonjavee1
Muhonja Vee 1 :
Nyie mliopo kwenye ndoa, ni ukweli???
2025-07-23 10:57:25
132
user9833297968188
Julie :
mwanamke akipata mimba nayo 😆😆
2025-09-30 22:35:46
0
magrethsechonge3
magrethsechonge :
huyo ni wangu mpaka kufunikwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-19 07:01:43
353
ngoshajonh779
MWANZA KWETU🫶 779 :
KAMA SIJAPATA LIMSHANGAZI SITOBOI 😁😁
2025-07-26 03:18:26
2
joshkinjo
Mr &Mrs josh🔐 :
married lady in this situation hellloooo
2025-07-22 16:14:47
18
victoria.wilbarth
viiii :
hadi linasema ikalie kwa juu wakat nikaz yake
2025-07-21 08:37:57
164
doreen.william2
Doreen William :
imagine mtu anakuwa wa mwisho kuingia ndani af anakwambie kafunge mlango😒😒😒
2025-07-21 09:33:05
133
user1062220128674nyota
Géraldine nyota :
sijawahi kuona paster msema kwl kama huyu
2025-08-13 20:15:29
1
user97306614306612
Jane Kanyenda :
you are a true man of God
2025-07-21 17:53:02
6
shabaankahindi
Daddy Sheba :
Pastor aliye acha kuhubiri mambo na Biblia amegeuka kuwa mshauri wa ndoa😂😂😂😂😂kwenda kabsa
2025-07-24 14:26:28
12
c.a.r.l.y_g
Carly✨ :
Na macho yamepofukaa 😁😁😁😁
2025-08-03 16:01:36
1
user6110721080069
caroline mberia :
sana sana macho inapotea kabisa
2025-07-22 05:37:53
13
agnesolubakaya
agnesolubakaya :
hata akili hana unawazakwa niaba yake😂😂😂
2025-07-19 04:44:06
35
user1622702421691
lizzy :
na wanawake baadhi wakiolewa wanachakaa
2025-07-19 15:22:23
10
kemmymora12
kemmymoraa :
Hadi mjulus anataka umuingizie🤣
2025-07-24 00:51:36
10
hafswa54
user4305699328143 :
wale huwa wanabambika na uyu pastor wagonge hapa😂😂😂😜😜
2025-07-26 19:36:58
95
treasures9309
treasures :
Kanichomekee sm chaj🤣
2025-07-23 08:58:25
16
ruth20632
Ruth :
😂😂😂😂😂kwa kina ng'ombe kuna mateso aki
2025-07-29 13:22:07
8
dorcasmasitha
Dorcas Masitha :
my man should see this😂😂😂😂
2025-07-20 18:01:41
29
mbalila60
mbalila :
kuna huyu wangu hata nkimuagiza dawa nimeze anasema nataka kushindana nae😭
2025-07-19 17:10:00
50
micknessngusulu
micknessngusulu :
kuolewa ni tunakwenda kuwa watumwa wa watu kwel
2025-07-29 04:09:06
10
asiakondo2
Asia Kondo :
Huyu wangu kabisa hata kuoga hawezi😂😂😂😂
2025-07-19 13:19:19
8
rayyan_mom98
𝓡𝓪𝔂𝔂𝓪𝓷 𝓶𝓸𝓶🦋🌹 :
mchungaji umesahau wanAingiaga na viatu ndani muda umemalz kudeki na nguo wanaanza kivulia sebuleni shati unaikuta sebuleni surual chumbani
2025-07-28 12:26:30
4
pharmfarida
pharmfarida :
hio kushusha net jmn Kwan ni dhambi wanaume kushusha net 😳
2025-08-05 09:34:39
0
To see more videos from user @mgogodan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About