@timothyerasto: Hata Ndimi Elfu Lyrics Hata ndimi elfu, hazitoshi kweli Bwana Yesu kumsifu kwa zake fadhili Yesu jina kubwa liwezalo kufukuza hofu, linafurahisha hili lanipa wokovu Jina hili ni uzima, ni afya amani , Laleta habari njema, twalipiwa deni. Yesu huvunja mikufu ya dhambi moyoni, Msamaha ,tena nguvu twapata rohoni Kwa sauti yake vile, watu hufufuka, Wakafurahi milele pasipo mashaka
mwl erasto timothy
Region: TZ
Friday 18 July 2025 09:18:11 GMT
Music
Download
Comments
Regina lukaka :
muda mwingine natamani tukae sehemu moja tu kumwabudu Mungu wetu bila mahaangaiko ya dunia
2025-07-18 18:35:24
121
Cyte Nimz Maina 🇰🇪 :
🥰🥰Can I join you guys 🙏🙏 I love this
2025-07-19 04:51:46
7
power house :
Team Jesus nataka nione comment zenu
2025-08-30 08:57:30
1
annambiki1 :
Hakikisha mnajua kitabu cha ufunuo wa yohana ilikumpokea YESU MARA YA PILI ANAVYOKUJA AMEWEKA MULE MAELEKEZO
2025-09-12 07:15:11
1
Ushindi Wangu :
hatabila kushawishiwa na maneno mengi roho wa mungu anaonekana kuwepo hapo!!
2025-09-10 14:14:50
1
Deborah MN :
yaan natamn siku moja tuende sehemu kama hivo timber tenzi tumuabudu Mungu bila kuwaza kitu kingine chocht
2025-08-14 09:09:30
3
Hellen mmary :
nawaonea wivu walai
2025-07-19 16:44:04
6
Essie✝️ :
ni wapi hapa jamn tuwetunakuja kumuomba MUNGU
2025-07-18 14:56:39
18
deborahmollel11 :
Kuna Raha sana kuwa uweponi mwa Mungu
unaweza sahau kuwa upo Duniani....Huyu Yesu ni mzuri sanaa😊🙌🙌
2025-08-28 03:12:37
3
pharelbimdesigns :
Did you upload the recording YouTube?
Can't really get enough of it❤
2025-07-21 14:50:37
1
Maggy kibila :
jina la BWANA lihimidiwe,Amen🙏
2025-08-29 05:32:04
2
ginakimvuma :
Jamani nimetamani kuwepo hapo
2025-07-21 09:39:24
8
Magreth Kateti :
❤️❤️❤️If i had ten thousand tongues still won’t be enough
2025-07-18 10:40:28
6
Kafwemba Jr. :
Siku hizi tuna waimbaji wa hovyo sana wa Injili wamejitungia Injili zao wenyewe ...#Ila tunaye Ambwene # Keep serving the most high GOD Tunabarukiwa.
2025-07-20 15:26:17
5
zephania :
Bora mbogamboga kwenye Aman
2025-07-19 14:28:21
5
Hopy :
nikiwaambia muwe mnaenda kanisani eleweni ona mambo haya jmn emu mpee hayo maisha Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako hutajuta🥰🥰
2025-08-18 17:02:34
10
The shinning light 🥰🥰 :
naipenda sana hii nyimbo🥰🥰
2025-07-18 18:07:35
6
Ushindi Wangu :
Dodoma sehemu gani ndugu!! weka namba!!
2025-09-10 14:17:22
1
Swat Studio :
barikiwa sana mtumishi wa Mungu
2025-08-11 22:15:27
1
God's Messenger :
Wow ni wap.?
2025-07-22 07:26:53
0
Ester 08800765 :
mungu awabaliki sana
2025-09-10 03:08:49
1
Baraka Ndelwa :
naomba kufahamu kama ipo YouTube tafadhali
2025-09-02 19:23:09
0
poulie priss :
nimemuona mtu kama Abel Gustave jaman au nimemfananisha
2025-07-19 15:35:45
1
janeth :
Wa Dar Es salaam,, tukutane nasisi tufanye hii kitu kwa pamoja..alie tayari andike no tuunde group
2025-07-20 03:17:06
3
God’s fav💕 :
Kwa Yesu kuna raha Jamani 🙏🙏
2025-08-13 08:46:58
2
To see more videos from user @timothyerasto, please go to the Tikwm
homepage.