@perfect_lyrics4: Sikupendi sikutaki#dogopaten#trendsong#perfect_lyrics4#foyoupage

Perfect_Lyrics
Perfect_Lyrics
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 18 July 2025 14:20:22 GMT
1065667
53753
1086
2757

Music

Download

Comments

raphaelakrey669
Raphael Akrey :
wanaoamini kwamba dogo patten ni on fire 💥 kuliko sajent gonga like apo
2025-07-19 08:14:41
795
hypertonz.tz
Hyperton libabashage bhabha 🔥 :
Wanaotomba mikundu ya wanaume wenzao watachomwa na moto wa WELDING
2025-07-18 21:31:43
212
abigail.dhahabu
Abigail Dhahabu :
Samahani sikujui me hunijui ila nakuombea kwa mungu akutangulie zitimie ndoto zako Ameena🤲🙏 InshaAllah🤲🙏✅
2025-07-19 18:44:31
68
frank.6668
Frank dread locks🇧🇴 :
Hivi patten ukiwa unaimba unakuwa una hisia hio nyimbo kama sisi au maan kuna mda mtu unaweza kulia 😭 maan unacho kiimb kimebeba hisia kama kimesha kukuta
2025-07-18 17:15:01
126
binty.mjusi
Binty Mjusi :
patteni unanifanya nalia😢😢
2025-07-18 21:27:13
86
lameckmbwilo1
kinyanyu joshua :
dogo anajua kama unamkubali patten gonga like
2025-07-20 08:35:08
141
fetty_kumbisaga
Mrs Ahmed ❤️❤️ :
wanao amini paten hafananishwi na vinyago
2025-07-21 18:33:09
18
gwisutv
mr light :
wasanii tunao tembea nao saiv ni dogo patten na dogo rema kwisha mpaka watuchukie kama we familia mwaga makopa apo
2025-07-20 09:09:04
77
saimonanton0
saimonanton :
dogo anayaimba mapenzi kwa njia ya tofauti
2025-07-18 21:26:24
20
user5912187279777
sunzu boy official 1 :
duhuu huyu mtoto niko nae mpaka afike anako kwenda zangu Dua
2025-07-18 18:18:52
70
cardorich570
cardorich :
jamani kama unaamini dg anajua gonga like hapa
2025-07-19 19:46:35
23
lil_sixty.60
lil60🗽 :
last born wa taifa 🔥🔥
2025-07-18 20:16:55
38
user4504760243233
user RAMER DANCER 🕺🇯🇲🕺🤸 :
SEMA IYO SAUT TOKA SKUILE WAKULOGE JUKWAANIi NDIO KAMA WAMEIONGEZEA KAS..
2025-07-20 22:40:33
5
carlos50632
Carlos-506 :
Tunae amini uyu paten baada ya miaka 3 mbele atakua atal sana kweny singer gonga like
2025-07-19 07:42:33
14
lailatsaidi185
Lailat Saidi :
Huyu dogo anajua bwana
2025-07-20 19:10:17
9
last.born0577
Last born🤸 :
kwani huwezi kuimba bila kutingishika jaman😂
2025-08-08 05:31:33
6
tabithamwakusya
tabithamwakusya :
patern ,patern,patern nakuita mara tatu unajua sanaaaa 🔥
2025-07-19 19:25:05
7
kigosiogjunior
UNIQUE BOY :
sajent muache huyu mwamba amekuacha mbali saaaana
2025-07-19 12:24:17
6
zachou.jasla
zachou jasla😘 :
tuko pamoja dogo patten hadi mwisho
2025-07-21 06:19:56
7
ruthitemba
Ruuh🤎💫 :
Huyu mtt jmn uwiii🔥🔥🔥🔥🔥
2025-07-19 10:17:29
8
mminge97
Mminge :
Dogo japo kiburi lakini tumpeni maua yake ktk nafasi yakee
2025-07-22 05:59:56
6
saimonanton0
saimonanton :
dogo anayaimba mapenzi kwenye singeli
2025-07-18 21:25:46
32
boydl255
DL :
mnasema dogo Elisha . huyu dogo paten ni mkali afu ni mkali wa hits singelii 🌹
2025-07-19 16:20:53
13
mtakatifug4
G.Rugaja :
🤩🤩🤩🤩 anastair hadh ya nyota tano
2025-07-19 20:26:31
9
user3833999799090
Riziwani :
Nakubali mwamba ni 🔥🔥🔥🔥🔥
2025-07-19 08:07:11
7
To see more videos from user @perfect_lyrics4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About