@mwl.emilian.katub7: Endelea kusema kila mpango wako kwa kila mtu kisa ni rafiki yako, kisa anakuchekea utalogwa hutaamini Jifunze kuweka mipaka, cheka nao lakini weka mipaka, wengine acha waishie kujua jina lako na jina la ukoo wako tu Sasa wewe jifanye television ya Taifa utalogwa hutaamini.
Mwl Emilian Katubayemo
Region: KE
Saturday 19 July 2025 05:17:57 GMT
Music
Download
Comments
Mary Kawira laibuni :
very true
2026-07-11 12:29:05
0
Augustine Thotho :
Utarogwa vipi na hali umeokoka? siri zako usitoe ndio na kubali, lakini kwa nini uogope wachawi na hali aliyendani yako ni mkuu kuliko yule wa duniani
2025-07-19 14:06:05
99
jacklineemmanuel45 :
Mungu atusaidie sana
2025-07-19 05:24:22
63
@MUTINI315✝️ :
Very true...monitoring spirits are everywhere
2025-07-20 03:13:35
53
Luhya Bae ♥️🌺🍹🍾🍷🔥🎀 :
Amen 🙏 I receive in Jesus name 🙏,thank you Lord 🙏
2025-07-19 12:01:54
17
Mary Minja :
Nungu anisaidie na aniokoe Amen
2025-07-20 10:57:19
12
Ann Mbicha :
True
2025-07-20 14:27:13
13
PELINA DYAGA :
CHUCHU ZANGU ZINAWASHA NIFANYEJE ?? 🙌🏾🥹
2025-07-28 07:35:33
6
Ashley Lubago :
ubarikiwe mtumishi
2025-07-20 12:12:45
9
madame-- nie :
amen
2025-07-19 05:55:18
5
ruthmwendwa576 :
mungu anitenganishe na marafiki kama hao in Jesus mighty name Amen 🙏🙏
2025-07-20 04:14:34
11
vïvï💗💗🇹🇿 :
asante baba nimebarikiwa sana kwa jumbe nzuri Mungu akutunze ili tuzidi kujifunza vingi kutoka kwako🙏🙏🙏🙏
2025-07-20 11:58:03
9
Dorcas Lokale :
ni wale wako kanisani lakini ni mbwa mitu...wanajifalia ngozi ya kondoo lakini ndaani Yao ni wanafiki.
2025-07-20 09:16:22
17
magrethjulias825 :
kweli kabisa nimejifunza kitu hapa
2025-07-20 08:59:26
8
Babymonica :
wakina yuda ni watu wabaya sana
2025-07-25 08:52:35
6
Zabibu Omary :
kwelii
2025-07-20 14:13:59
11
estherkoech3 :
true,ata issack alipoondoka kwenda mji ule Bwana alipomwamuru aende,alimwambia hasiseme huyu ni mke wangu,aseme ni dadake,kuna maadui😃
2025-07-23 17:29:37
13
user2216856816711 :
Mtumishi Mungu akubariki sana mm huwa siamini mtu kabisa kwanza hawa wakucheka saana na kupeleleza
2025-07-19 19:46:43
10
IRÈNE 🇦🇽🇦🇽🇦🇽🇦🇽🇦🇽 :
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒕𝒖𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒚𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂🙏🙏🙏
2025-07-19 05:56:19
17
user71316002657083 :
ukweli mchungaji
2025-07-20 11:32:17
10
Doreenchepz :
Ni kweli kabiza
2025-07-19 05:51:50
26
Pendo Nyamweru :
This is true
2025-07-20 03:07:31
6
kipenzi :
kujeni wa 10
2025-08-20 10:12:37
5
mrs J 🥰🥰 :
hii ni kweli Mungu anisadie nijue kunyaza
2025-07-19 12:32:01
5
Rose Dhahab :
Ameen
2025-07-19 07:30:01
5
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.