@living_magic_store: JINSI YA KUTUMIA ICEA ALOE KUTOA MIKUNJO USONI ASUBUHI BAADA YA KUAMKA#fpgシ #fypgakni #fypシ゚ #fpg #viraltiktok

ZANZIBAR COSMETICS
ZANZIBAR COSMETICS
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 July 2025 08:24:25 GMT
326788
4073
214
345

Music

Download

Comments

ilungaaflahrehani
ilungaaflahrehani :
wewe bado kijana nije unipake mimi tuone kama mikunjo itatoka😃
2025-07-19 17:44:09
18
mamamashukadodoma
happy G :
Hivi kuna mwingine huko akiamka Ana kuwa na ngozi Kama ya mtoto Kama mimi na ikifika mchana tu nafubaa😂😂
2025-09-10 19:45:33
14
icky_moh
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Akitaja bei yake mniite maana hataki kutaja
2025-07-19 10:48:55
6
mumy.boyz
Mumy boyz :
ndiyo upake yote hivyoo
2025-07-19 11:08:52
4
bi.helwah
NATASHA 🧿 :
nataka kuondoa mikunjo mikononi
2025-11-05 12:11:53
0
simonmzengo87
Master :
wimbo unaitwaje?
2025-08-17 08:00:33
0
zayglammakeup
Zayglam-Makeup :
Wa Dodoma karibunii tunazo zile za jani tunaweka na vitamin E piaa❤️🌸
2025-07-20 05:59:14
4
anayrah888
anayrah :
Mbn umepaka nying jamn af umewah kunawa 🥺🥺🥺 huruma naona mm
2025-07-19 09:51:29
6
magdalenarambo78
sisame :
nipe no yako kuna jambo nikuulize ila ni siri
2025-08-23 14:53:27
0
anna.omary
Anna Omary :
unapatikana wapi
2025-09-04 04:21:01
0
nderingo8
NDERINGO :
bei gani hiyo
2025-08-18 04:17:30
0
furahahassani6
furahahassani6 :
nikupaka maramoja inatoka🤣🤣🤣🤣🤣 mbona Sielewi?
2025-09-10 10:01:03
0
rachelmsk66
cheupe fashion designer :
Ndo nini hiyo?scrub au nini
2025-07-19 09:02:05
1
swaswa216
Hellen Hellen :
hyo ni kwa ngoz aina zote ??? pls hau machiii
2025-07-20 03:40:19
0
seushi.mburi
seushi mburi :
namba ya simu nipatie
2025-07-19 17:21:23
0
amina.2672
Amina 267 :
nataka cream ya kukaza nyama za uso
2025-07-21 07:45:22
0
siliviafrancis463
Silivia Francis :
unakaa nayo muda gani kisha unaosha?
2025-07-19 15:07:09
0
jesca.love34
Jesca love :
kwani we zanziba cosmetics uko wapi nataka dawa ya melasma maduka yap
2025-07-19 13:26:12
1
user5149000514624
@gee💞 :
nataka hiyo na ile VITA B 3
2025-07-19 13:52:39
0
user2080813515144
user2080813515144 :
kaka mdogo angu Ana sugu mbaya sana naomba unisaidie atumie nn eti
2025-07-21 17:35:44
2
hildanjavike
hildanjavike :
nmekuja kariakoo nipotea mtaa nmekosa na kurudi
2025-07-19 18:59:30
0
mwant12
user1413522877305 :
habari kaka,hv kutumia ile aloe vera iliyokaa kama kijani kupaka uzoni kama mosture ni sawa
2025-07-19 15:07:36
1
855jackline
Jaques 855🦋 P❤️ :
Mpaka tu changanyikiwe 😂
2025-07-19 14:05:28
0
user549797433
user5651000487340 :
twambie bei tunataka jamani😅
2025-07-19 10:12:17
0
ashakomba35
ashakomba397 :
bai gani
2025-07-19 10:21:59
0
To see more videos from user @living_magic_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About