jaman huu wimbo me nautafut siupati au bado haujatoka,Maan nikisearch rehema simfukwe na Johnathan song ushuhuda hauji wimbo ila unakuja ushuhuda wa s
2025-07-20 13:42:42
8
hope jonas :
Mungu azidi kukumbuka ktk utumish wako wa uimbaji tunakupenda sana 🔥🔥🙏🙏
2025-07-19 16:59:06
57
Mage@88 :
Leo Sasa ndo nimeelewa hapo maana mi nilikuwa nasikia kama unaimba kikongo🥰
2025-07-19 18:14:03
36
Victoria Stanley507 :
jamani ubarikiwe sana napenda hichi kipande kwenye huu wimbo naweza rudia mara kumi
2025-07-19 18:06:38
19
faithful_. :
Niliomba kwa siri amejibu hadharani ili watu waone utukufu wa BWANA..... nina ushuhuda 🙏
2025-07-19 16:39:37
25
janvier Mukamba :
les stars de ce moment 💪🙏🙏💪💪 courage mingi frère
2025-07-19 19:12:04
5
Amu✨🦋❤️ :
neema🔥🥺🥺🔥
2025-07-22 06:33:23
5
Miss Jay_Mwangi :
my new favorite minister 😊
Agano and anafanya being my favorite songs🥰
2025-07-20 09:30:31
5
Lucky flower :
jaman sijui nikuombee vp mana nikiandika maombi yangu apa charge iko 100%lakin itazima 😍😍Barikiwa na Bwana Yesu MoG
2025-07-20 05:02:51
10
Hosiana Mboya :
hapa kwenye hiki kipande nilipaelewa sana japo sikuelewa maana ilikuwa ni kilugha Mungu awainue watumishi @#Rehema Simfukwe697 @Jonathan Kartagata nyie ni vyombo vya Bwana
2025-09-26 21:15:10
5
Suzana 🪷 :
Nakipenda hiki kipande balaaa🥰
2025-07-21 09:22:28
12
Posh Mary🥰❣️ :
hallelujah 🙏🙏
2025-07-19 19:20:38
5
Angel Richard :
jaman love the verse God 🙏 bless you
2025-07-20 10:28:52
5
Vee :
Huu wimbo ni maisha yangu 🙌🙏❤️
2025-08-19 12:14:46
7
Momo🥰 :
Hiki kipande kinanibariki sanaaa
Barikiwa sn Mtumishi 🥰🙏
2025-07-22 18:21:52
6
gee-bee💃 :
Ubarikiwe zaidi ya matarajio🙌🏿🙇♀️
2025-07-19 22:55:45
5
winnie__165 :
Hata yale nilio muomba kwa siri amejibu hadharan ili watu waone utukufu wa Mungu kwenye maisha yangu 🙏
2025-08-16 05:48:50
5
Jescar Neema :
Napenda hapo kwa (Niliomba Hekima)🙏❤️
2025-07-20 11:32:12
5
Cornelias :
ooooh I like this song end for real... you are my mentor one day i will meet y🥰🥰🙏