@starste0: #gratefulheart @Sororowario @domieso @sally @CHILDREN OF MOTHER MARY @Gume🖤Gume @Mum Abu @agneskho8 @MumRobeya

starste0
starste0
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 19 July 2025 16:03:46 GMT
256137
14933
709
1469

Music

Download

Comments

evans.moshi5
Evans Moshi :
nyie ni wasomali kutokea wap, hongereni sana mungu awatunze👍 waislam wote muwe wa kristo👍
2025-07-25 11:17:42
82
user8854613876930
salma :
akuna kafiri anaevaa ivyo izo edite zenu nyinyi makafiri
2025-07-22 07:15:32
17
user6006558822592
mgosi :
HILO VAZI NI DESTULI YA KIISLAM PIA NI UTAMADUNI WA KIISLAM KWA KUIMBIA KWAYA NI KAMA " DHIHAKA "
2025-08-14 01:07:59
1
tukuyu234
TukuyuTz :
Tusikariri kuvaa hivyo haina maana kuwa ni muislam hilo ni vazi la utamaduni wa waswahili wa pwani ikijumuisha Zanzibar na sio Vazi la Dini hilo.
2025-07-22 19:58:41
33
manlogan31
manlogan :
hii ni parokia ipi?
2025-07-20 20:32:56
7
mwogorapeter
retep :
tumsifuni yesu kristu
2025-07-22 15:45:09
26
user99982597356298
William :
kama hawa n watanzania bas mm n mkurya 🤣🤣
2025-08-08 18:13:04
5
abumwinyi739
abumwinyi739 :
masha allah .wazuri sana Allah awaongoze kwenye uislamu
2025-08-23 14:58:38
7
antoniaisdory
antonia isdory45 _massam sharo :
JUIYA NDOGO NDOGO AMANI NA MAPENDO ,,,MKATORIKI RAHA.SAANA
2025-07-22 03:16:52
6
user6383028323244
Trevors Wekesa :
Nawapenda bure wakatoliki wenza!!!
2025-07-20 17:13:04
4
kibena648
Pearl 🌹 :
Ebu acheni mambo ya udini bhana mm mnanikeraa si tupendane tu kila mtu na imani yake😣😣😣😣
2025-08-14 13:31:50
7
jchezi
user6137757000622 :
Tumsifu yesu kristo mungu awa bariki sana
2025-10-14 17:23:31
1
kara.2363
kara 23 :
Yaani wakristo mngekua mnavaa kama hiyo raha sana
2025-07-22 05:23:21
7
happbern
HapyBern :
Mwenyezi Mungu asiwapungukie katika maisha yenu ya Ukristo.
2025-07-20 16:07:57
5
hajra.issa3
hajra issa :
mmejistiri mmependeza sana
2025-09-07 11:02:50
1
abdiazizosman19
abdiazizosman811 :
kuna kabila zingine wanatoka sana sana Ethiopia alafu 50ni wakristo alafu 50t ni waislamu kama borana oromo ahmaric and others so acheni kufikiria som
2025-09-25 20:56:06
1
rithatrazias0
Ritha Trazias :
amina
2025-09-10 16:34:32
1
41numb
🤐 :
wanaanza kujistili 🤣🤣🤣safi sana acheni kuvaa vichupi kwa nyumba ya MUNGU sasa bado kusujudu tu😂😂😂
2025-08-12 21:10:29
3
luck.michael7
Luck Michael :
kafili wew Na family yako
2025-08-20 13:53:42
2
dorcasnanzala0
Damaa :
kwa zawadi ya maisha Niko nayo kwa fon. proud of being a catholic from north eastern Garissa, mandera, tana river, wajir, this is how we dress
2025-07-23 07:32:10
2
user53698327140161
mary :
ivi nyie sio waiislamu kweli?
2025-07-20 17:59:29
3
umoja_shawrie
🥰shawrie😸😸😺 :
oh yes beautiful ladies keep up God blessyou
2025-10-05 16:51:07
1
helwansupply
De mallya :
dini ni jina tu jaman imani ndio muhimj mungu ni mmoja msikue malimbukeni mnachukia wengine juu wako dini flan
2025-09-09 11:37:05
1
stalkbeetle84
STALKBEETLE_84 :
this song is sooooo good,the message 👍,kindly send me the name of the song
2025-07-29 16:02:08
1
liipan300
@Notification: :
THIS IS NOT SOMALI 🇸🇴 ITS OROMO CHRISTIAN 🇪🇹
2025-09-11 08:29:26
1
To see more videos from user @starste0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About