@gideon_kulawa: ETI UPO KWENYE MAHUSIANO NA MTU AU UPO KWENYE MAHUSIANO NA WEWE MWENYEWE??! Mom Dr Rose Shaboka

Gideon Kulawa
Gideon Kulawa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 July 2025 18:33:22 GMT
252264
12174
510
3166

Music

Download

Comments

neema.samwel8
Neema Samwel :
Wadada tukijtambua mahusiano hayatakuumiza kichwa hata kidogo kuna sehemu mtu unaona kabisa huyu mwanaume kimeo ila umeganda tu upo umemng'ang'ania ili iweje jaman wadada tuamkeeee
2025-07-21 06:56:30
76
jacklinemiage
Jackline Miage :
hata kama nalazimisha ndio mnifokeeee🤔🤔🤔
2025-07-21 09:25:52
50
miswittyofficial2
Mis witty🦋 :
Which relationship????😂😂
2025-07-20 07:04:13
20
aripha093
Aripha :
uyiii hatimaye nimefikiwa,,,ahsante mama🥰
2025-07-20 19:28:36
39
jugosgirlfrnd60
ItsAnnieEmma❤️🫰 :
nmeamk tu nakutana nayo boooom😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-21 05:54:02
11
gpius8245
GRACE 💞🦋.🕊️ :
nipo kwenye mahusiano ambayo ata Mimi mwenyewe sijuhi yanahusiana na nini 😅😅
2025-07-21 09:12:06
8
barnley.skyboy
Barnley skyboy :
umeaja biblia umeanza mapenzi
2025-07-22 10:02:16
8
abrianagrayson
Abriana 😍😍 :
sema Mama tupone
2025-07-20 12:36:13
15
amina_beb
Amina beb :
nilikuwa kwenye hiyo khali lakini nilipojua niko kwenye relationship pekeyangu nikajitoa sasa hivi anatamani yarudi🤣🤣
2025-07-21 09:11:09
13
user86098432626162
mai Dereva :
sasa kam hana ela nifanyajemsenge nin kwenda uko
2025-07-22 11:55:42
4
user3826161250618
TRAVIS & MISH :
Na wanaume wenyewe wanatuomba doh kama viwete na hawarudishi🤣🤣🤣
2025-07-21 13:07:39
7
mdoll046
Madame Cash💰 :
😂😂 nipo mwenyew kwa kweli
2025-07-21 15:23:40
5
brilliantgaloffical
Pookie Lee♎ :
ukweli mchungu 🥺😅😅😅😅
2025-09-01 15:36:37
4
user7227236253672
Mrs Dismas🥰 :
Kuna mtu alitoroka kwao kuja kwa kijana kufua boxer na zilipokauka kijana alivaa akaenda kuchumbia Mke wa ndoto zake 🤣🤣🤣
2025-07-23 17:03:17
3
barakaloveness
Second born❤️✨💥🦋 :
nmecheka kwa uchungu😭😭😭😭😭
2025-09-11 18:44:15
0
puritymbinya0
purity :
which Relationship 😅😅
2025-07-22 12:59:20
3
thedreamer011
The dreamer :
Sio umeaja ni umeacha….haya rudia kuandika kama mimi u- me- a-cha.
2025-07-30 09:15:23
0
cutelinahh
binti.foya@💕💕💕 :
😂😂😂😂mm nipo mwenyew maana Kila kitu nafanya mwenyew 🙈
2025-07-21 07:57:47
9
leah.ondeko
Prophetess Leah :
ukweil kabisa mama
2025-07-22 12:14:56
2
maria.shaibu2020
Maria shaibu2020 :
mtumishi hap umenigusa
2025-07-25 23:57:52
3
user2860258234168vivi
vivi nash :
aki God help me nisijiforce tena kwa mtu maana nimechoka sana
2025-07-21 19:01:17
4
brigid7334
brigid733 :
najihurumia mie
2025-09-01 15:23:24
2
mbonnejane
Jane mmbone :
Hamna kitu hapo. Afathali nikimbizane na Wokovu.
2025-08-25 08:21:39
1
milliammtafya
@oddomily :
duh ukweli unauma ukweli mchungu
2025-09-04 11:51:21
2
sophiakasubi836
sophie❤️❤️ :
kama ni mume unafanyaje sasa yaani mshafunga ndoa
2025-07-22 12:36:32
0
To see more videos from user @gideon_kulawa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About