Udug apo kwenye ngano inabidi niwe makini kweli. Mana mambo ya ngano kwangu kivumbi 😂😂😂
2025-08-28 13:43:10
0
Nassir_45 :
izi Luna jirani yangu aliwahi niletea ramadhani adi nikaenda kumuuliza mikate gani hii umeniletea mbona sielewi😂😂 aya na wewe niletee nijikumbushie au nikufate na FFU😂
2025-09-09 00:49:45
0
Lulu❤️ :
Leo kwetu wasomali ❤️
2025-07-20 08:46:59
1
odo :
sorry hiyo unayopakaza baada ya kutoa jikoni ni asali au sugar syrup
2025-07-20 17:50:41
0
Dinnah Laizer :
naona leo umetukumbuka wenye chakula yetu
2025-07-23 20:45:54
0
Khadija Maulid :
mm nakupenda san nataman kuwepo hapo ila mm napenda san keki nataman kujua kupika keki
2025-08-05 16:01:03
0
Warda❤️🔐🦋 :
Hivi Dona halifai? N lazim semb?
2025-09-01 15:54:51
0
Anabs art🐝 :
assalaam aleikum... moto unafaa kukua mwingi ama mdogo mdogo
2025-10-02 09:52:36
1
Halيma :
pan yako umepaka nini ndo isigande
2025-08-14 15:26:52
2
Aisha :
Waoooo😳😳
2025-08-28 13:44:14
0
Fatmah Hussein :
Da hawa mie nitengneza zikawa tamu nanzuri lkn haziweki rangi ya brown kwa chin zinakuwa white..itakuwa nlizdsha sembe au
2026-02-19 09:53:47
0
pretty zulfa ❤️ :
Am I the only who don't had the sembe🥰
2026-02-21 15:22:56
0
Queen zuuh 😍💕 :
mambo ya wa somali ila nitamu sana
2026-02-03 14:35:19
0
kajala :
sijaona hamira na imefurishwa na nn
2025-11-24 03:50:37
0
official muney :
ukweni🥰
2025-07-20 15:14:15
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm
homepage.