@siasatz: Mlitaka desturi gani wakati kuna katiba?, Unasema iachwe katiba na sheria ifuatwe desturi muingie kwenye uchaguzi wa chama chenu hii desturi huko CCM ilianza lini wakati hamjawahi kufiwa na M/Kiti aliye madarakani? Mabeyo alivyowapiga K.O mkaanza kujipanga 2025 mkijua huyu Mama hatataka kuendelea. Mkutano Mkuu nao ukawapiga K.O mnaanza kutoka mashimoni mmoja mmoja. #SiasaTZ #SiasaZetu #CCM

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 July 2025 11:38:48 GMT
253385
6727
298
345

Music

Download

Comments

mddlemapesa77
middle master :
Uyu alikua ana msimamo gani wakati yeye ndio kaharibu alishindwa kupindua nchi kama traole
2025-07-20 11:54:19
46
mazee338
mazee338 :
Ila Mama Samia Mungu amlinde… na wanawake wengine wajifunze 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2025-07-20 12:22:24
29
user24024190945116
user24024190945116 :
General Mabeyo alisimama imara sana anasitahili pongezi 🙏🙏
2025-07-20 18:06:49
26
user6802702818308
aziz mkumbo :
Ni Rais gani atakua mwema kwenu watanzania. maana marais wote walopita wabaya tu. muongozwe na jini.
2025-07-20 13:49:49
8
tariqdasimba3
Tariq simba :
ungechukua nchi mabeyo
2025-07-20 11:51:35
20
mr_lonely267
Mr_lonely :
Bora hilo genge lingeweka mtu wao😁😁😁
2025-07-20 14:44:54
12
samakimtumwa
Samaki Mtumwa :
Jeshi Imara Nchi Imara kazi Iendelee
2025-07-21 04:27:30
7
user8606312617912
user8606312617912 :
CDF yeyote angesimamia hilo, kati ya kazi za TPDF ni kuilinda katiba ya nchi, kumbukeni hii katiba haijatungwa na Jeshi la wananchi, Jeshi la wananchi ni imepewa nguvu ya kuilinda katiba kwa mujibu wa katiba hiyo hiyo.
2025-07-20 17:52:14
3
ball_dancer
Abdillah :
Nashukuru nimeshuhudia Mtanzania ambaye ni Mzalendo na Taifa lake...
2025-07-20 12:47:04
14
rdmushkahh
professa wa kitaa :
mungu akubariki mabeyo...mama Samia amekuwa msaada mkubwa sana
2025-07-20 13:47:31
15
yasinmasanja92bazawadi
KIBAIK :
yaan wasukuma sijui ni lin tutabadikika
2025-07-20 15:23:38
6
user209072322049
Elisa Elisa :
Mabeyo hakukosea. Alifuata katiba kushauri. Basi tushughulikie katiba.
2025-07-20 14:31:29
11
user8577532283002
user8577532283002 :
Na Hilo genge inawauma sana kwamba MAMA anaenda Tena kuwa Rais Hadi 2030
2025-07-20 12:46:59
14
akimu.abdallah
Akimu Abdallah :
magufuli alikuwa fara sana aliongoza nchi kama mwendawazimu
2025-07-20 17:03:05
1
brightson844
Diplomat :
sahii amepewa cheo na Samia kwa kuheshimu utawala, nadhani kuwe na vigezo vizuri kupima .
2025-07-20 16:51:26
1
karimmveyange
karimmveyange :
HALIJASHINDWA,VADO LINAPAMBANA KWA SPEED 200. FUATILIA UCHUKUAJI WA FORM ZA UBUNGE HUKO MAJIMBONI
2025-07-20 17:22:54
1
user9026705325761
user9026705325761 :
huyu CDF wa kutoa hotuba kama ya mtu wa la 7
2025-07-21 14:03:33
0
user6802702818308
aziz mkumbo :
Na mtatoa clipu mpaka za mkwawa. mwisho wa siku samia tunae
2025-07-20 13:48:35
8
user80520936274830
jonte :
mama alishiliki kumuondoa mwenzake Dunia ngumu sana
2025-07-25 18:30:02
0
brother_05_hb
Brother_05_HB :
kweli kabisa
2025-07-20 12:41:30
3
injili.ya.ufalme
Injili Ya Ufalme :
umetuangusha sanaaaaa ndugu yangu tuna teseka nahili jini
2025-07-21 19:00:30
0
vennally
De_charming_king :
Ibara ya 37(5) Inasema kwamba: “Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kwa sababu yoyote ile, ikiwa ni pamoja na kufariki dunia, kujiuzulu, au kushindwa kabisa kutekeleza majukumu yake, basi Makamu wa Rais atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano kwa muda uliobaki wa kipindi cha uongozi wa Rais aliyefariki, kujiuzulu au kushindwa kutekeleza majukumu.” Kwa hiyo, Makamu wa Rais ndiye anayepaswa kuchukua nafasi ya Rais aliyefariki hadi kipindi chake cha urais kitakapomalizika.
2025-07-21 20:12:25
3
userzalaly
[email protected] :
mzee nmeona akiongea mpak jicho limevaa kombat yani hapo ndy anaongea kwa tabasam vp akichafukwa namkubali san CDF mabeo💪💪💪💪💪😃😃😃
2025-07-20 19:27:28
2
user3735092185103
user3735092185103 :
huyu ndo aliharibu mambo hali isingekuwa hivi
2025-07-23 06:58:53
1
amri.juma3
Amri Juma :
genge nilipi sasa linalotaka au lilio kuepo sijaelewa hapo nifahamisheni
2025-07-23 13:56:02
1
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About