tangu umpate daa Paula ulituwacha mayatima wa wa mapenzi 😂❤️
2025-07-20 18:03:00
16
Sophiescent :
ametuponza ponza sahii ye kajipata😂😂sie bado twalialia
2025-07-20 19:20:35
9
Cia blessing's Hand✂️🧵👗 :
uaneza ukaona mwanaume duniani ni omary tu😂😂😂😂
2025-07-20 15:21:08
26
DANNY wisely 👑🧢 :
ivi huyu jamaa mnaushaidi sio robot 🤖 ajawai toa nyimbo mbovu Toka nianze kumjuaa ; Yani hata wakimshilikisha utakuta nyimbo nzima mbovu ila alipo imba yeye t ndo hit🙌🙌🙌
2025-07-21 20:36:54
11
zee herself 💕 :
haya mwaya marioo ita mvua inyeshee siwengne tuute radi itushtue tufe🤣
2025-07-20 16:48:27
6
SARA CLASSIC💍❤️🦋 :
Ila saiz unapendaza sana marioo wa Paula katoto kanajua kukutunza bana kapewe maua yeke.Yesu awalindie furaha yenu🙏Mzidi kua Familia Bora ♥️
2025-07-20 17:51:41
16
Nazy❤️🔐 :
unaesoma comment yangu sote watu wa mungu
2025-07-21 05:39:12
45
🌸💞Mama ariana👩👧💕. :
tunaamini one day tutajengea wazazi wetu🏠 nyumba gonga like apa🥰🥰🥰
2025-07-22 13:47:14
82
shakirah😋 :
weeeeeee hukui mpaka Leo unalilia mapenzi😂😂😂😂 weeee hukui
2025-07-20 15:56:27
12
Voke_2.0 ☆ :
Marioo anajua. Namkubali sana from Mombasa, Kenya.🔥
2025-07-20 13:15:15
9
ndubhashe :
baba yake si Hamonaizi😂
2025-07-20 15:59:28
5
👒 just Deejah🤎 :
Allah awape umri mlefu MAMA❤ zetu walio hai, 🤲🏻walikwisha tangulia mbele ya haki Allah awape qauli thabit🤲🏻
2025-07-20 16:16:55
6
princess emmy :
atimaye kajala kafikiwa na mkweo
2025-07-20 15:19:19
11
Rahmer✨🦋 :
MARIOO EBU IMBA NA HEART BREAK SONGS JAMANI TUMEZIMISS HUYU PAULA SASA ANAFANYA UTUIMBIE MAPENZI MAZURI TU WENGINE TUNATAKA KULIA BWANA NA SONGS ZA UZUNI😂💔
2025-07-20 15:27:00
12
Ruthie🌹 :
aty nyumba Kali mombasa woow❤️❤️❤️🌹
2025-07-20 16:00:17
7
Queen J :
Kaka jaman we ni nouma Sana
2025-07-20 15:08:18
5
Aston lueh :
marioo to the world, ioo wapi kaka 😁🤣🤣
2025-07-20 13:13:56
5
To see more videos from user @marioo_bad, please go to the Tikwm
homepage.